Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
Wewe mbona hujaelewa nilichoandika usipende kudandia treni kwa mbele utaumia
Ukienda Cafe unalipia huduma ya kufanyiwa maombi hulipii kutumia Computer kwa masaa nadhani hivyo ndivyo ulivyokariri kwa akiri yako Mtandao wao wa tamisemi ingekuwa mtu analipia kama ulivyozani wewe si angelipa mamilioni ya pesa maana unaweza kaa siku tatu nzima kwenye Computer usikamilishe chochote Cafe.
Unashindwa reason kitu kidogo tu.