Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

Jf kila mmoja mjuaji.,kasoma sana,. Maisha safi,. Hana njaa. Mwenzenu kaomba ushauri mnaanza kumsimanga na kutokujua computer. Mara elimu ya Tanzania ni majanga. Wakati ndo mmesoma hiyo. Aliyeturoga ni nani
Wewe umemsaidiaje?
 
Inaonekana uliweka ya uchumba kweli.....hahahahah....mzaha au kilaza!!??
Sehemu za attachment hazina mashart kuna jamaa zangu kibao sehemu ya cheti cha chuo wameweka Barua tu za kuwatambulisha.
 
Mbona na wewe umekosoa, hafu hyo typing error, Mimi nimekosoa wewe umgekuja kivingind basi
Nimekuandikia inavyotakiwa kuwa, sijakukosoa kwa nia ya kukukomoa, hapo ndipo utofauti ulipo.
 
Back
Top Bottom