Wewe mbona hujaelewa nilichoandika usipende kudandia treni kwa mbele utaumia
Ngoja nikuache una akili ndogo ka funza Ni Nani sikuhizi anaenda cafe?Wewe ni pimbi.
Ukienda Cafe unalipia huduma ya kufanyiwa maombi hulipii kutumia Computer kwa masaa nadhani hivyo ndivyo ulivyokariri kwa akiri yako Mtandao wao wa tamisemi ingekuwa mtu analipia kama ulivyozani wewe si angelipa mamilioni ya pesa maana unaweza kaa siku tatu nzima kwenye Computer usikamilishe chochote Cafe.
Unashindwa reason kitu kidogo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kupata msaada kaambulia masimangoMwalimu mzima huwezi ku fanya application yako mwenyewe very shame, shida chuoni huwa Ni mda wa kuzurula, tu hamjifunzi hata computer Tena ingetakiwa mfanye interview kabisa nyie ndio mnaenda kufundisha watoto wetu ujinga.
Jamaa kasema kaenda wapi nyuman* kwako kashikiliwe huko kuzi wewe kama huna cha kuandika kilaze.Ngoja nikuache una akili ndogo ka funza Ni Nani sikuhizi anaenda cafe?
Sio masimango mkuu wanafunzi wengi wakiwa chuo huwa hawaongezi maarifa mengine[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kupata msaada kaambulia masimango
Mkuu kuna uzi humuhumu kweny hl Jukwaa utafute vzur... Unahusu jinsi ya kufanya maomb ya ualm kwa njia ya OAS kama skosei... Kuna jamaa kama wew pia alkosea kutuma vbay hvohvo.... Kuna jamaa alimshauri vzur tu... Kwamba unaweza pia kuedt upya hzo Taarfa na kufuta ukajaza Tena.... Ushaur wang kwa ufupi.... Utafute huo uzi[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Naombeni msaada wadau,
Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Unajua alikumbwa na lipi mpaka akaomba msaada wa mtu wa internet amsaidie .Mwalimu mzima huwezi ku fanya application yako mwenyewe very shame, shida chuoni huwa Ni mda wa kuzurula, tu hamjifunzi hata computer Tena ingetakiwa mfanye interview kabisa nyie ndio mnaenda kufundisha watoto wetu ujinga.
Ndugu, kama unasoma na kuelewa.Ni kila kozi na kila chuo hiyo kozi ipo na ni ya lazima.
Ndugu, pole sana.Naombeni msaada wadau,
Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Kwani amekwambia hajui kuwa amekosea,Lazima nimwambie ukweli
Mimi hua naenda cafe...Tena juzi TU nimeandaNgoja nikuache una akili ndogo ka funza Ni Nani sikuhizi anaenda cafe?
Uongo huo. Mfumo huo haukubali taarifa zisizo zako.Naombeni msaada wadau,
Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Hufai kuwa mwalimu, hauko makini kazi umeisubiri miaka minne then umuachie mtu.
Mwalimu mzima huwezi ku fanya application yako mwenyewe very shame, shida chuoni huwa Ni mda wa kuzurula, tu hamjifunzi hata computer Tena ingetakiwa mfanye interview kabisa nyie ndio mnaenda kufundisha watoto wetu ujinga.
una uhakika ??????????????????????????Uongo huo. Mfumo huo haukubali taarifa zisizo zako.
Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?