Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

Jf kila mmoja mjuaji.,kasoma sana,. Maisha safi,. Hana njaa. Mwenzenu kaomba ushauri mnaanza kumsimanga na kutokujua computer. Mara elimu ya Tanzania ni majanga. Wakati ndo mmesoma hiyo. Aliyeturoga ni nani
Wewe umemsaidiaje?
 
Uongo huo. Mfumo huo haukubali taarifa zisizo zako.
Nimeshangaa pia
Manake najua ukiupload taarifa sizo inaweka rangi nyekundu na ikiweka red obvious hauwezi kwenda next step
 
Inaonekana uliweka ya uchumba kweli.....hahahahah....mzaha au kilaza!!??
Sehemu za attachment hazina mashart kuna jamaa zangu kibao sehemu ya cheti cha chuo wameweka Barua tu za kuwatambulisha.
 
Mbona na wewe umekosoa, hafu hyo typing error, Mimi nimekosoa wewe umgekuja kivingind basi
Nimekuandikia inavyotakiwa kuwa, sijakukosoa kwa nia ya kukukomoa, hapo ndipo utofauti ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…