Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Amen ndugu yangu, asante kwa faraja, nawaza juu ya watoto wangu sijui wanaonekanaje.Yesu alisema ninani asiye na dhambi basi adiliki kumpiga mawe uyu mwanamke malaya, ndugu yangu hakuna msafi chini ya jua wote ni wenye dhambi kuwa na amani kabisa
Kwani watoto wako ndio wamefanya ulichokifanya?Amen ndugu yangu, asante kwa faraja, nawaza juu ya watoto wangu sijui wanaonekanaje.
Anachanganya mafaili Sasa🤣Kwani watoto wako ndio wamefanya ulichokifanya?
[emoji1787]Kwani kanisa lipo moja?
Ni vema aitume hapa tuichunguze kama ina mushkeli!Hiyo Emoji ndio ipi?
Na kweliNi vema aitume hapa tuichunguze kama ina mushkeli!