Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Nn kilipelekea ukapata vidonda vya tumbo .Ugonjwa nauogopa huo ,unatesa sana.
 
Dar mkuu. Ila sehemu nazo mingle sijaziona napenda sana kuchanganyia konyagiiii

Duh. Sasa hiyo mixer ukikutana na Mdada si ndio ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž. Ila nae japo awe amekunywa maana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Juzi nilikutana nayo maeneo ya Boko Basihaya. Now niko Madale kuna kikaz tumekuja kusimamia huku na nimekutana nayo.
Goba pia iko.
Kwahiyo nikadhan maeneo meng imesambaa.
 
Is a mdada that necessarily shem shem?๐Ÿ˜
 
Is a mdada that necessarily shem shem?๐Ÿ˜

Not necessarily shem ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ila mixer ming sana hiyo. Means atalewa. Na hiyo TZee yenyewe inasisimua misuli + konyag unafikiri atatoboa huyo akiwa pekeyake ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Not necessarily shem ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ila mixer ming sana hiyo. Means atalewa. Na hiyo TZee yenyewe inasisimua misuli + konyag unafikiri atatoboa huyo akiwa pekeyake ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Khaa wewe hapo ushaenda na dharura yako? hebu ngoja niijaribu nione kama ntashindwa kuimudu mwenyewe kwanza๐Ÿซข
 
Ntaitafuta mkuu, ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

Aisome min -me
 
Khaa wewe hapo ushaenda na dharura yako? hebu ngoja niijaribu nione kama ntashindwa kuimudu mwenyewe kwanza๐Ÿซข
Shem mm nakunywa Kilimanjaro.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ile nimepiga tu picha kukutumia.
Mm maspirit nakunywa glass 2 tatu.
 
So, unasisitiza kwamba ni lazma iwe hiyo brand name?
Kwamba daktari asiandike nyingine zaidi ya hiyo brand name? ๐Ÿค”

Medicine is very broad.
Mkuu, welcome tuufungue mjadala kwa kirefu zaidi.
 
Bia ukinywa sana utazeeka bwashee

Maspirit siyawez kaka.

Huwez amin mm Kilimanjaro au Castle lite naweza kunywa mingi tu na nikaamka saa 12 asubuh na kwenda mzigon. Bila hangover. Zaid zaid nitapata uchovu tu wa Hapa na pale.

Ila spirit haya nikinywa mwanzo mwisho tumbo linakwangua asubuh na nakuwa hovyo.

Sikuhizi nimepunguza toka j2 ndio nagusa Leo.
 
Unakula vizuri unakunywa vodka yako safi unapiga mazoezi una waka tu bwashee, tatizo la bia kitambi๐Ÿ˜…
 
So, unasisitiza kwamba ni lazma iwe hiyo brand name?
Kwamba daktari asiandike nyingine zaidi ya hiyo brand name? ๐Ÿค”

Medicine is very broad.
Mkuu, welcome tuufungue mjadala kwa kirefu zaidi.
Mkuu kuna baadhi ya madaktari hutaka kurahisisha pengine kutokana na kipato cha mteja anaye muhudumia,atamuandikia amoxylin,metro na omeprazole...

Maana hyo heligo kit ni gharama kidogo,,lakini kumbe ndo inafanya poa kwenye h pylory.

Any brand anaweza kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ