Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max nisaidie nami dawa ya hizo madudeAchana na hiyo h pylori, nenda kachukue dawa zifuatazo zita kusaidia kisha nita kuelekeza dawa ya mitishamba bure.
- amoxicillin 2*3
- Omeprazole 1*2 -3 depending na maumivu.
- tramadol 1, ka yakizidi asubui na jioni.
- magnesium ya maji, piga ile kubwa.
Changamka chap, maana hapo yapo kwenye dalili mbaya.
Usile dagaa, maharage, limao, vyakula vya moto sana. Pia zingatia kutokunywa dawa zenye Diclofenac ndani yake kama vivian au diclopa.
🥰🥰🥰Aisee hujui tu kichwa yangu ni imeraruka ghafla! Kwa bahati mbaya nipo mbali kdg shem darling! Aisee nitunzie moja😋View attachment 3562574
Dawa si ndo hizo nilizo andika shekheMheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max nisaidie nami dawa ya hizo madude
Heligo Kit, hii ni brand name tu na sio jina la dawa... Sio lazma itumike hiyo.Mkuu kuna baadhi ya madaktari hutaka kurahisisha pengine kutokana na kipato cha mteja anaye muhudumia,atamuandikia amoxylin,metro na omeprazole...
Maana hyo heligo kit ni gharama kidogo,,lakini kumbe ndo inafanya poa kwenye h pylory.
Any brand anaweza kutumia
huyu ndugu kwanza anatakiwa aseme anatumia dawa gani! Naxria abdalla hujakamilisha swali lako
Habari mkuu, niko kwenye dose nimemaliza helgo kit ya siku 14 sasa naendelea na lansoprazole nina wiki mbili sasa za lansoprazole.... Nina nafuu kiasi pia appetite ya kula imekuja...nimekaa na huu ugonjwa kwa zaidi ya miaka 8. Naomba kuliza nafuu kamili na kupona inachukuwa muda gani mkuu?Mkuu,H pylory anaweza kupona..kwa maana ya kumuua bakteria..ila sasa athari alizo acha huyo bacteria kwa maana ya vidonda hutumia muda kupona
Badili mtindo wa maisha, pia pendelea kufanya mfungo walau mara 1 kila wiki.Habari mkuu, niko kwenye dose nimemaliza helgo kit ya siku 14 sasa naendelea na lansoprazole nina wiki mbili sasa za lansoprazole.... Nina nafuu kiasi pia appetite ya kula imekuja...nimekaa na huu ugonjwa kwa zaidi ya miaka 8. Naomba kuliza nafuu kamili na kupona inachukuwa muda gani mkuu?
Mtindo upi mgonjwa wa vidonda vya tumbo anapaswa auishi?Badili mtindo wa maisha, pia pendelea kufanya mfungo walau mara 1 kila wiki.
Punguza wasiwasi, usile kupita kiasi, pendelea lean food (non-spicy, boiled etc)Mtindo upi mgonjwa wa vidonda vya tumbo anapaswa auishi?