Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

Kweli maisha magumu jamani tuache utani msione kama hiyo salary ya jamaa ni ndodo

Mi mwenyewe Jana usiku nimeacha kiporo changu mezani, leo asubuhi nimeamka kukicheki nakuta hakipo kumbe kala jeremiah
😃😃😄
 
[emoji31][emoji31][emoji31] hizi badget ni balaa mi saivi nmebakiza laki 2 nataka ya kuanzia tar 01 mpaka tar 20, yaani elfu 10 kwa siku, ila sasa inatokea siku inatumika hadi elfu 30, mwishowe mshahara ukikarbia nakopa
Una 20k unatumia kwa siku kumi nzima aisee sasa utafika mwezi kweli
 
Si bora ww elfu 90 tu!!!mimi weekend iliyopita jmosi mpaka jtatu nimepiga mahesabu nimetumia laki 3 kwenye mambo ya kipumbavu hasa pombe na kuacha nimeshindwa acha.
Dah hii kitu pombe nami kuacha nashindwa sijui kwanini? Ukipta Ya njia kuacha tupeane taarifa.
 
Kweli maisha magumu jamani tuache utani msione kama hiyo salary ya jamaa ni ndodo

Mi mwenyewe Jana usiku nimeacha kiporo changu mezani, leo asubuhi nimeamka kukicheki nakuta hakipo kumbe kala jeremiah
[emoji23][emoji23]asee we jamaa
 
Ningekushauri kma unaweza pats mkopo ukawawezesha home kuwafungulia mradi wowote kma ni kijijin au mjini mifugo au kaduka ili upunguze utegemezi kwako VP kma ukifa ukiumwa c mtarudi kulekule kwenye umaskini wa kutupwa
 
Hao unaowatumia hela,wafungulie genge wajiendeshe wenyewe;wewe bado kijana unatakiwa ule bata....
 
Are you afraid?

Congratulations brother, it means you are not stupid!
 
Bibie moja limechuna MTU hukuu😂😂😂
Maza kalamba ten
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimetuma 12 elf mabayo akitoa atapata 10, wa elfu kumi na tano nimetuma 17. ni kweli ni hela hiyo kutokana na bajeti nilioweka, sasa kilichotokea ndo kinanihuzunisha bora ningemtumia mama ata 30 au hamsini kisha nilala tu geto
umehonga demu au umenunua wanaosimama barabarani nini? mbona unaficha ficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…