Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

 
Hapa kuna jambo halija kaa sawa ukiona mwana anasema ametumia 70k jua moja kwa moja hiyo ni 7000
Au sio NAKWEDE
 
Zamani nikitumia hela vibaya naanza ifikiria 18% ya VAT iliyokatwa kwenye matumizi ya kipuuzi nilofanya then naona kumbe sijamfaidisha sana mwenye Bar!.

Labda itakusaidia na wewe!.
 
nimetuma 12 elf mabayo akitoa atapata 10, wa elfu kumi na tano nimetuma 17. ni kweli ni hela hiyo kutokana na bajeti nilioweka, sasa kilichotokea ndo kinanihuzunisha bora ningemtumia mama ata 30 au hamsini kisha nilala tu geto
Usijali ndo maisha, ila jifunze kuwa na matumizi sahihi ya pesa yako, mjue Mungu na ujiepushe na dunia usije ukaingia kwenye matatizo ya umasikini kisa dunia inayopita na tamaa zake, angaria ulikotoka, hicho kidogo unachokitumia ovyo ovyo ukikitunza mwisho wa siku kitakusaidia. Jifunze jinsi ya kutunza pesa zako. Iheshimu pesa ikuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…