Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

Chukua mafuta ya kondoo..yapashe kidogo..halafu weka kwa kusugua kidogo .asubuhi ukiamka utaona majibu
 
Back
Top Bottom