Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

Your not bro , use bro rules
 
Shoka moja, mbuyu chini...

Ushapagawa na kitobo wewe...
 
Mchane manzi kuwa unajua Kila kitu na ukatemawasiliano na faster tafuta mbadala wake
 
Karma haikosei Mkuu utakuja kuyaona hayo machoni au kizazi chako...ova!
Achaaaaaa....
 
Ukweli ndo utakuweka huru
 
Kama ni Dar hii ni kawaida .mkeo,mchumba ,dem wako akija Dar bila hela au auna uhakika wa kumhudumia vizuri lazima aliwe
 
Mlishaambia 'msile nyama ya mtu, akianza hauachi!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…