Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

Habari za wakati huu wapendwa,

Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.

Naomba msaada kutoka kwa wale wenye uzoefu, ni kweli au ni uwongo? Sijui kama ni matapeli au la. Mzigo umewasili asubuhi ya leo na wameniambia niulete Tabora, lakini wameniambia kuna gharama ya kusafirisha ya Tsh 70,000 kuja Tanzania.

View attachment 2934123View attachment 2934124View attachment 2934125View attachment 2934126
Wewe ni msukuma,mshamba,mpumbavu na ni mzembe😆😄😅😅
 
Haikuwa na haja ya kumwita mpumbavu....ulipaswa tu uiahie kwenye ushamba kwani sio tusi
Mpumbavu ni mtu ambaye,anajua jambo ni la kijinga hataki kunifunza..........mtu yeyote anayetumia smartphone na hajui kua huwezi tumiwa kitu/mali/pesa bila kuifanyia KAZI na mtu usiyemjua ni MPUMBAVU
 
Kama huna pa kuiweka hyo hela nipe ata mm nifanyie biashara ya karanga ntashukuru sana ndg yangu 🙏
 
Habari za wakati huu wapendwa,

Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.

Naomba msaada kutoka kwa wale wenye uzoefu, ni kweli au ni uwongo? Sijui kama ni matapeli au la. Mzigo umewasili asubuhi ya leo na wameniambia niulete Tabora, lakini wameniambia kuna gharama ya kusafirisha ya Tsh 70,000 kuja Tanzania.

View attachment 2934123View attachment 2934124View attachment 2934125View attachment 2934126
Matapeli hai, FEDHA Huwa haiwekwi kwenye box!!!
 
Back
Top Bottom