bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Waambie wakutumie Hela ya kutolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuamini bila picha?Nimechat na mtoa mada, kumbe mzigo wake aliupata bhana kama ulivyo laptonga, iphonge na midolare buku jero yake baada ya kutuma hiyo 70k.
Hakuna mahali nimesema muamini.Tuamini bila picha?
Unatumia IDs zako zote kwenye uzi mmoja.....Hakuna mahali nimesema muamini.
😅 😅 😅Wajinga wanakufa na kuzaliwa
Ndio mkuu, kuna nyingine pia ya tatu kwenye page ya 2Unatumia IDs zako zote kwenye uzi mmoja.....
Zawadi zako ulipokea????Habari za wakati huu wapendwa,
Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.
Naomba msaada kutoka kwa wale wenye uzoefu, ni kweli au ni uwongo? Sijui kama ni matapeli au la. Mzigo umewasili asubuhi ya leo na wameniambia niulete Tabora, lakini wameniambia kuna gharama ya kusafirisha ya Tsh 70,000 kuja Tanzania.
View attachment 2934123View attachment 2934124View attachment 2934125View attachment 2934126
Broo umepigwa na kitu kizito sana aseee achakabisa kafanye mambo yako, kwanza hio appearance ya iPhone na nani kapiga picha ya hio ndege huko angani???Habari za wakati huu wapendwa,
Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.
Naomba msaada kutoka kwa wale wenye uzoefu, ni kweli au ni uwongo? Sijui kama ni matapeli au la. Mzigo umewasili asubuhi ya leo na wameniambia niulete Tabora, lakini wameniambia kuna gharama ya kusafirisha ya Tsh 70,000 kuja Tanzania.
View attachment 2934123View attachment 2934124View attachment 2934125View attachment 2934126
Kweli ulivyosema. Vitu vyote hivyo ni chambo. Ukikosea tu ukakila huishii hapo bali utanasa kwenye ndoano, boya na Ile kamba ya kuvulia ( hook, sinker and line). Tahadhari kabla ya hatari.Wanakutamanisha hiyo million 3.8 pamoja na hizo laptop na simu wao lengo Lao ni kukutapeli hiyo elfu 70 tu
jamani dhambi😃😃😃😃Nimechat na mtoa mada, kumbe mzigo wake aliupata bhana kama ulivyo laptonga, iphonge na midolare buku jero yake baada ya kutuma hiyo 70k.
Amini hvy dada angujamani dhambi😃😃😃😃
Sidhani, ni utapeli wa kizamani tena wa kishambaMkuu ulipokea huo mzigo wako?