PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu mbona umeandika utumbo sana
 
Mbowe atawakuta tangulieni...
 
Wapimbavu nyinyi team Mbowe
 
Wakuu huyu dogo hana hata sifa ya kuendelea kujibiwa , wenye hekima wamebakia kumuangalia tu hapo atakapo dondokea.

Kumjibu nikuendelea kumpa airtime asiyostahili.
 
Nilivyomuelewa lisu hana shida na madaraka,nilivyowaelewa g55 shida yao madaraka,kwa akili zangu timamu bila ya kushurtishwa nasimama na lisu
 
Mnafiq mkubwa wewe chawa wa Sultan Mbowe,tunajua na wewe uko kwenye hilo genge la Njaa 55. Chadema ndiyo inazidi kuimarika kwa kuondokewa na walaghai mkiongozwa na Boss wenu Sultan Mbowe.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744209206308.jpg
    20.9 KB · Views: 19
Watu mna code adhm kabisa na hamsemi 😂😂😂
 
Kifupi ndani ya CDM kulikuwa na genge ambalo lilikuwa linafanya biashara na CCM.

Inaonekana Hilo genge tayari lilikuwa na makubaliano na CCM juu ya uchaguzi wa 2025.
Genge hili lilishajipanga nani awe mbunge wa wapi kulingana na majimbo waliyopewa na CCM.

Ujio wa ghafla wa Tundu Lissu na misimamo yake migumu umewakuta wahuni off-guard,

MBOWE ameshachoka sasa na siasa ameamua kustick kwenye biashara zake baada ya kulipwa hela nyingi kama damage compensation, hawa waliobaki hawana ujanja tena na mbaya zaidi wameingizwa chaka na CCM maana CCM inajua bila MBOWE hawa wote sio asset, wanakwenda kubwagwa ACT huko na kuendelea kufanya kazi ya shetani (CCM).

TUNDU LISSU NA HECHE Msifanye negotiation yeyote na COVID 19, NI Bora kuanza mwanzo na kuweka msingi kuliko kuambatana na wajinga wenye tamaa ya hela na maisha ya kidunia kwa kuhadaa mamilioni ya watu.
Vijana wengi wa CDM wameuwawa na kuumizwa wakipigania haki, kucompromise na CCM ni kusaliti roho za hawa vijana.
 
Wakuu huyu dogo hana hata sifa ya kuendelea kujibiwa , wenye hekima wamebakia kumuangalia tu hapo atakapo dondokea.

Kumjibu nikuendelea kumpa airtime asiyostahili.
asante heche tumekuelewa
 
Mkuu ... Kwa nini sasa usiwashangae hao G- 55 .... Kwa uamuzi wao wa haraka namna hiyo wa kuhama chama ndani ya Siku 70 baada ya uchaguzi.... Kama walikuwa kuwa kweli wanakipenda Chama.... Wangevumilia tu.... Siku 70 ni chache sana kudai kuwa uongozi mpya umewatenga.... Inawezekana uongozi mpya una vipaumbele vyake kulingana na wao wanavyoona waanze na nini... Kifutie nini... Wamalize na nini.... Sasa kama sasa hivi mwenyekiti Yuko gerezani.... Inahitaji maridhiano au kupambana kwanza kumtoa gerezani mwenyekiti.... Kifupi wao G-55 kinachowatoa hapo ni njaa.... Wengi wamepoteza nafasi zao baada ya uchaguzi wa chama.... Tuwatakie kheri huko waendako.
 
Chama kipo vizuri sana, nadhani kuliko kipindi chochote tangu 2015...
Walioenda hawatuhusu, tuna agenda ya ku push ..NO REFORM NO ELECTION!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…