Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
tuache Ubinafsi Kwenye Suala La Taifa ,sasa Kama Taifa Lako Unaliombea Mabaya Wachawi Ni Sisi WenyeweBora tumefungwa lasivyo pongezi kwa Samia zingeanza bila sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuache Ubinafsi Kwenye Suala La Taifa ,sasa Kama Taifa Lako Unaliombea Mabaya Wachawi Ni Sisi WenyeweBora tumefungwa lasivyo pongezi kwa Samia zingeanza bila sababu.
wajuaji,wasio Na Imani,moral,wajinga Kama Wewe Ndo Wanafikir Kuwa Stars Hawawezi Shinda Mbele Ya Morocco,mpira Ni Mbinu Hauna Mwenyewe Hatukuwa Tunadhani Kama Saudi Arabia Angeweza Mfunga Argentina Na Messi Wao Lakini Walifungwa.Usilete Uchama Kwenye Suala La Kitaifa.Naomba Mkuu Wa Mkoa Aongeze Idadi Ya Wanajeshi Tarehe 24 Kwenye Zoezi La Usafi Ili Tupunguze Uchafu Wa Namna Hiini mgonjwa tu wa akili ( maniac ) pekee ndiyo alikuwa akidhani na akiwa na uhakika wa 100%. kuwa taifa stars ccm samia serikali fc leo ingeshinda na kuwafunga wenye akili, mipango, uwezo na malengo morocco
Unaumia kwa lipi wewe , tangu lini wabongo mkajua kucheza soccer ninyi , ninyi ni wacheza singeli tuHamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.
Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.
Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi kweli wakulalamika muda huu. Serious. Kauli za kocha ziliniumiza sana kabla ya mechi.
Je, kweli hiki ndicho tunapewa zawadi sisi au mimi mtanzania. Why?
Kweli tumepigwa hii mechi. Nimeumia sana. Hivi brazil ikienda kucheza huwa si inawaza nchini kwake wabrazil wenzao, au pale germany, au london uingereza si huwa wanajua wameenda wakilishwa. Serious Timu ya taifa ya kutuumiza kila siku[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
I am very disappointed, sijui ni mm tu nimeumia hvi. Aaanh
kauli hii ya kinafiki na ya kujifariji ulikuwa nayo kabla taifa stars hajacheza na morocco leo na kuzikoga hizo goli 3 takatifu?Usiumie sana,hata kushiriki tu kwa Tanzania katika finali hizi ni ushindi tosha ,
Ha Ha Ha, Hao ni Mabaga freshTumetaabikaa tumesulubikaaa jamani sisi tumepigikaaa aaa sisi tumepigikaaa
Tatu bila tatu bilaaa by j nature
Pole mkuu
Mechi za makundi zikiisha, kuna watu watabaki na hyper tensionHauko peke yako, nimeumia sana!
Namlaumu kaka mzuri kunirudishia huu uzalendo, mi haya mambo nilishayaacha jamani 😭😭
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.
Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.
Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi kweli wakulalamika muda huu. Serious. Kauli za kocha ziliniumiza sana kabla ya mechi.
Je, kweli hiki ndicho tunapewa zawadi sisi au mimi mtanzania. Why?
Kweli tumepigwa hii mechi. Nimeumia sana. Hivi brazil ikienda kucheza huwa si inawaza nchini kwake wabrazil wenzao, au pale germany, au london uingereza si huwa wanajua wameenda wakilishwa. Serious Timu ya taifa ya kutuumiza kila siku😪😪😪😪.
I am very disappointed, sijui ni mm tu nimeumia hvi. Aaanh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kauli hii ya kinafiki na ya kujifariji ulikuwa nayo kabla taifa stars hajacheza na morocco leo na kuzikoga hizo goli 3 takatifu?
Hakuna timu ya kuifunga Morocco pale, siasa nyingi hadi kwa timu ya Taifatuache Ubinafsi Kwenye Suala La Taifa ,sasa Kama Taifa Lako Unaliombea Mabaya Wachawi Ni Sisi Wenyewe
Ndugu iliwauma. Mimi sijaongelea uchambuzi miminimeumia matamanio. Why not a win.haswa kwa sisis wenye mapenzi. Sijaongelea historia hapaJifunze kuchambua mechi, katika kandanda chochote kinawezekana. Brazil imewahi kufungwa mabao saba na Ujerumani katika kombe la dunia lililochezwa nchini Brazil. Timu ikiwa na mchezaji pungufu ni vigumu sana kushinda timu iliyokamilika na ambayo wachezaji wake wana mori wa kushinda. Wachezaji wa Tanzania walikufa moyo baada ya mchezaji mmoja kutolewa huku wakiamini kwamba ameonewa. Kwanini kocha wa Tz hakumtoa nje ya uwanja mchezaji ambaye alikuwa na kadi ya njano huku mchezajj huyo akiendelea kucheza kwa munkali bila kuwafahamu wachezaji wa kiarabu wanavyotafuta mbinu chafu za kuwahadaa waamuzi. Kocha alikuwa hafuatili mechi?
Kuna mtu alipigwa kofi na maama yake akalia akatulia, kuna mtu alipigwa kofi na mama yake akalia sana mpaka mama yake alimuonea huruma , alikosa raha week nzima. Same action different people.though jua hao waliumia sana. Mimi nimeumia nimetamani tushinde game ilipokua inaendelea.
Mwijaku ataingia kipindi cha piliVp wakina mwijaku wameshindwa saidia
Ova
Hakunaga mambo ya maombi huko.tuache Ubinafsi Kwenye Suala La Taifa ,sasa Kama Taifa Lako Unaliombea Mabaya Wachawi Ni Sisi Wenyewe