lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.
Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.
Dunia hii haiko sawa kabisa.