Kilichotokea Libya
Kilichotokea Misri
Kilichotokea Tunisia
Kilichotokea Sudan
Ilikuwa ni watu kutika Magharibi mwa afrika kupandikiza watu wao ili itokee insurgency na wao wapate nafasi ya kuingia kwenye Hilo Taifa wakisema wanaenda kutoa humanitarian aid kumbe wakamwaga siraha na kubadilisha regime hii ndio inaitwa false flag siku hizi
Kwa nini Misri baada ya Arab spring na kiongozi wakamchagua kwa demokrasia wa Muslim brotherhood akatofautiano kimawazo na wamagharibi wakafanya mpango akapinduliwa na Jeshi,
Na General Al sis ambaye ni kibaraka wa Marekani kuingia uliona kukemea kwa Mataifa ya Magharibi kuhusiana na undemocratic nature iliyotokea ila walizidi kuipa msaada Misri kwa sababu kwao inaserve strategic mission zao, funguka macho mtu mweusi jua mizania isiyo sawa watumiayo mabeberu.
Mnafamu nini kilichoendelea Sudan, Kilichoendelea Lebanon
Baada ya hapo Mashariki ya kijasusi duniani yakajua Kilichoendelea hivyo
walivyotaka kuingia Syria kwa kutumia mbinu zile zile wakazuiliwa na mrusi.
Wakaenda Hong Kong kwa pre text ya uhuru wa habari na kujieleza
Uliona jinsi wachina walivyolishughurikia.
Wakaenda Belarus wakidai Kuna rigged election results uliona walivyohandle
Wakaenda Kazakhstan hii juzi juzi tu uliona CSTO ikiongozwa na Mrusi walivyodhibiti Yale machafuko kupitia nguvu yaani aim to kill,
Wamagharibi walivyoona mbinu Yao imeshindikana wakaanza kusema Urusi wamevamia Kazakhstan na Warusi waliingia hawatoki lakini walivyomaliza walitoka kwa amani
Lazima ujue hawa jamaa Wana mbinu nyingi na Wana operate kutumia hizi NGO to impose their idea na Kuna watu wanalipwa fedha nyingi kuinstigate hayo mambo.
Kwa usiseme mhemko ila umeonyesha jinsi ulivyo mtupu
huna unachojua zaid ya mihemko, mihemko ufunga uwezo wa kufikiri.
you are trying to defend undefendable..misri haikuwa na rais wakati Arab springs? Tunisia haikuwa na rais wakati wa Arab springs? hao marais walichukua hatua gani kuzuia nchi zao zisiingie kwenye machafuko?.
Gaddafi aliua raia wake, akaona hatoshi akaingiza jeshi mtaani kuua, akaua kweli hadi nato ilipoamua kuingilia Kati.
leo mnatumia nguvu kweli kupotosha kuwa ule ulikuwa ni uvamizi wa USA.
Kilichotokea Libya
Kilichotokea Misri
Kilichotokea Tunisia
Kilichotokea Sudan
Ilikuwa ni watu kutoka Magharibi kuja kupandikiza watu wao ili itokee insurgency na wao wapate nafasi ya kuingia kwenye Hilo Taifa wakisema wanaenda kutoa humanitarian aid kumbe wakamwaga siraha na kubadilisha regime hii ndio inaitwa false flag siku hizi
Kwa nini Misri baada ya Arab spring na kiongozi wakamchagua kwa demokrasia wa Muslim brotherhood akatofautiano kimawazo na wamagharibi wakafanya mpango akapinduliwa na Jeshi na General Al sis.
kuingia uliona kama Mataifa ya Magharibi yalikemea kuhusiana na undemocratic nature iliyotokea ila walizidi kuipa msaada Misri kwa sababu kwao inaserve strategic mission zao na intereste. funguka macho mtu mweusi jua mizania isiyo sawa watumiayo mabeberu.
Mnafamu nini kilichoendelea Sudan, Kilichoendelea Lebanon
Baada ya hapo Mashiriki ya kijasusi duniani yakajua Kilichoendelea hivyo
walivyotaka kuingia Syria kwa kutumia mbinu zile zile wakazuiliwa na mrusi
Tena hapa Syria wakasema hadi civilian s wamepigwa na chemical weapons kumbe walifanya wao kupitia WHITE HELMETS.
Wakaenda Hong Kong kwa pre text ya uhuru wa habari na kujieleza
Uliona jinsi wachina walivyolishughurikia.
Wakadai Hong Kong haipo huru juu ya sheria mpya ya Ulinzi sijui Usalama ya mtu kupelekwa Mainland ukikosea kumbe Wamagharibi walipatumia Hong Kong kama sehemu ya kufanya na kuendeleza covert operation dhidi ya china.
Wakaenda Belarus wakidai Kuna rigged election results uliona walivyohandle
Wakaenda Kazakhstan hii juzi juzi tu uliona CSTO ikiongozwa na Mrusi walivyodhibiti Yale machafuko kupitia nguvu yaani aim to kill,
Wamagharibi walivyoona mbinu Yao imeshindikana wakaanza kusema Urusi wamevamia Kazakhstan na Warusi waliingia hawatoki lakini walivyomaliza walitoka kwa amani
Lazima ujue hawa jamaa Wana mbinu nyingi na Wana operate kutumia hizi NG'Os to impose their idea na Kuna watu wanalipwa fedha nyingi kuinstigate hayo mambo.
Kwa hiyo usiseme mhemko jamaa ana hoja.
Naomba kuwasilisha.