let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
kwasababu hata wewe uelewi unachokiandika.Huwezi kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu hata wewe uelewi unachokiandika.Huwezi kuelewa
Niliumia sana pia,kwa kifupi Huwa nawahurumia sana wahanga wa vita.vita inabadilisha Kila kitu.Wakati wa vita Somalia,Libya Afghanistan au hata Iraq uliumia hivihivi?
😀😀 ila ajue muda mwingi mi natazama RTKuna mdau kakwambia tatizo unatizama Sana propaganda za magharibi[emoji4]
Ni utaahira tu, historia inaonyesha haohao Ukraine waliwahi unga mkono uvamizi wa Marekani huko Iraq, wapambane na hali yaoMwingine huyu hapa
Hapana naumia sana kuona watu wanakufa.Huyu jamaa ukifatlilia quote zake humu utagundua ni pro America mtupu.
Unaumia kwa kiteseka kwa kinamama, watoto, wazee, vilema huko kwenyeTaifa la mbali lakini hujawahi kupinga mauaji yanayoendelea hapo Somali, Ethiopian, Sudan, Tchad, Mali.
Sokomoko la njaa hapo Kenya, Somalia, Niger.
Utawala mbovu Eritrea, Djibout, afrika ya kati.
Wizi unaofanywa wa rasilimali hapo Kongo, Tanzania, Burkina Faso, Uganda, Nigeria, Ghana
Vita ya jihad hapo Msumbiji.
Kutengwa kwa Somaliland
Wizi na Ufisadi hapa Tanzania, Angola, Nigeria.
Sheria za ukandamizaji wa kikoloni kama matumizi ya maji ya mto Nile
Umasikini uliopitiliza miongoni mwa watu wetu.
Haya ndio mambo Muafrika anatakiwa hayawaze sio vita inayopigwana Ulaya kwa sababu zao za kipuuzi sisi Watanganyika tuumie roho
Iwe kwa ajali au kwa magonjwa,Mimi Huwa naumia sana.Huyu jamaa ukifatlilia quote zake humu utagundua ni pro America mtupu.
Unaumia kwa kiteseka kwa kinamama, watoto, wazee, vilema huko kwenyeTaifa la mbali lakini hujawahi kupinga mauaji yanayoendelea hapo Somali, Ethiopian, Sudan, Tchad, Mali.
Sokomoko la njaa hapo Kenya, Somalia, Niger.
Utawala mbovu Eritrea, Djibout, afrika ya kati.
Wizi unaofanywa wa rasilimali hapo Kongo, Tanzania, Burkina Faso, Uganda, Nigeria, Ghana
Vita ya jihad hapo Msumbiji.
Kutengwa kwa Somaliland
Wizi na Ufisadi hapa Tanzania, Angola, Nigeria.
Sheria za ukandamizaji wa kikoloni kama matumizi ya maji ya mto Nile
Umasikini uliopitiliza miongoni mwa watu wetu.
Haya ndio mambo Muafrika anatakiwa hayawaze sio vita inayopigwana Ulaya kwa sababu zao za kipuuzi sisi Watanganyika tuumie roho
Dunia haitulii hii kila siku vurumai...kinachoendelea Sasa ni Kama muendelezo tu unaofanywaga na mataifa makubwa ulimwenguni kwa nchi mbalimbali...
Icebreaker unadhani napinga anachokifanya Urusi?Akikujibu nitag mkuu.
Nashangaa sana ujue?danganya makinda wenzio...
history io wazi chanzo cha vita ya nchi ulizk zilist hapa. Somalia chanzo ni Farah Aidid na kundi lake
Libya, chanzo ni mpumbavu mmoja hivi alizani Libya ni kama duka lake.
mnaandika koment na kutaja taja majina na ya nchi ili ku- justify uovu.
Asante Mkuu.Ndugu zangu watanzania kwanini muone unafiki kwa wananchi wengine kuwaonea huruma binadamu wengine wanaoteseka na vita hivi sasa huko Ukraine? Mnajuaje kwamba hakuumia hata vita katika nchi zingine vilivyopiganwa na mamia kwa maelfu ya watu kufa? Je kuna mtu hakuumia katika vita vilivyopiganwa nchi zingine za uarabuni, afrika na kwengineko? Je wayukraine hawapaswi kuonewa huruma kama binadamu wengine waliathirika na vita ? Fikiria baba yako kipenzi au mama yako kipenzi au kaka yako au dada yako au mkeo au mumeo, unavyompenda ndio yuko pale Ukraine sasa hivi kwenye jengo ambalo unaoneshwa kwenye TV kua limepigwa bomu limefumuliwa lote, je ungekua unaongea hivi ?! Au unaongea hivyo sababu hawako Ukraine na hio nchi haikuhusu na hata wanaokufa huko hawakuhusu
mpaka sasa inapoendelea vita ya UKRAINE dunia sio kama inavita hio tu MKUU kuna SYRIA LIBYA YEMEN nkNdugu zangu watanzania kwanini muone unafiki kwa wananchi wengine kuwaonea huruma binadamu wengine wanaoteseka na vita hivi sasa huko Ukraine? Mnajuaje kwamba hakuumia hata vita katika nchi zingine vilivyopiganwa na mamia kwa maelfu ya watu kufa? Je kuna mtu hakuumia katika vita vilivyopiganwa nchi zingine za uarabuni, afrika na kwengineko? Je wayukraine hawapaswi kuonewa huruma kama binadamu wengine waliathirika na vita ? Fikiria baba yako kipenzi au mama yako kipenzi au kaka yako au dada yako au mkeo au mumeo, unavyompenda ndio yuko pale Ukraine sasa hivi kwenye jengo ambalo unaoneshwa kwenye TV kua limepigwa bomu limefumuliwa lote, je ungekua unaongea hivi ?! Au unaongea hivyo sababu hawako Ukraine na hio nchi haikuhusu na hata wanaokufa huko hawakuhusu
hata hii ni upuuzi wa zelensky kufanya anajua kila kitudanganya makinda wenzio...
history io wazi chanzo cha vita ya nchi ulizk zilist hapa. Somalia chanzo ni Farah Aidid na kundi lake
Libya, chanzo ni mpumbavu mmoja hivi alizani Libya ni kama duka lake.
mnaandika koment na kutaja taja majina na ya nchi ili ku- justify uovu.
Mimi kama Mimi niliumia sana kuhusu maangamizi yote hayo uliyoyataja hapo juu.Hatusapoti mauaji ya watu ila hili Jambo la Ukraine imeonesha unafiki wa watu Kwa sababu wasomali wengi walikufaa,walibya pia lakini dunia ilikaa kimya.lakini Sasa hivi Kwa Ukraine mambo yamekuwa tofauti.au hata Syria juzi Tu hapo dunia ilikuwa kimya.ndo nakuuliza au binadamu tupo grade tofauti.
Kwani wewe Nyerere wako alivyokuwa anaipiga Uganda kulikuwa hamna watoto kule Uganda au wanawake-acheni upumbavu wenu basi.Ndugu zangu watanzania kwanini muone unafiki kwa wananchi wengine kuwaonea huruma binadamu wengine wanaoteseka na vita hivi sasa huko Ukraine? Mnajuaje kwamba hakuumia hata vita katika nchi zingine vilivyopiganwa na mamia kwa maelfu ya watu kufa? Je kuna mtu hakuumia katika vita vilivyopiganwa nchi zingine za uarabuni, afrika na kwengineko? Je wayukraine hawapaswi kuonewa huruma kama binadamu wengine waliathirika na vita ? Fikiria baba yako kipenzi au mama yako kipenzi au kaka yako au dada yako au mkeo au mumeo, unavyompenda ndio yuko pale Ukraine sasa hivi kwenye jengo ambalo unaoneshwa kwenye TV kua limepigwa bomu limefumuliwa lote, je ungekua unaongea hivi ?! Au unaongea hivyo sababu hawako Ukraine na hio nchi haikuhusu na hata wanaokufa huko hawakuhusu
Je, kwann hukuumia uonevu ulofanywa na NATO na ufaransa dhidi ya libya? USA na NATO dhidi ya iraq, afghanistan, syria?Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.
Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.
Dunia hii haiko sawa kabisa.
Hapa ndio msingi wa hoja yangu ulipo.hata hii ni upuuzi wa zelensky kufanya anajua kila kitu
acha anyooshwe[emoji35][emoji35][emoji35]
Vita ni kama mtego wa panya hunasa.Wanaume je huwahurumii? Acha ubaguzi
Sio wa Ukraine ni Viongozi wachache TU kwa maslahi Yao.Ni utaahira tu, historia inaonyesha haohao Ukraine waliwahi unga mkono uvamizi wa Marekani huko Iraq, wapambane na hali yao
Kweli kabisaNdio matatizo ya kuchagua Marais ambapo kazi yake ilikiwa kukuta viuono stag,Rais anashindwa Ku make right judgment kwa ajili ya watu wake.Anaona Marais wengine wote waliopita hapo Ukraine miaka na miaka walikuwa wajibga kutotaka mashirikiano na hao NATO-walijua kitakachotokea.