Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

danganya makinda wenzio...
history io wazi chanzo cha vita ya nchi ulizk zilist hapa. Somalia chanzo ni Farah Aidid na kundi lake
Libya, chanzo ni mpumbavu mmoja hivi alizani Libya ni kama duka lake.
mnaandika koment na kutaja taja majina na ya nchi ili ku- justify uovu.
Kwahiyo dunia haina haki ya kupiga kelele ili watu wasiuawe kwenye hizo nchi Saa nyingine nyamaza Tu.libya NATO alienda watu wengi wakafa kabla ya hapo walikuwa wanaishi vizuri nchi ilikuwa ni Tajiri.hata Ukraine mpumbavu mmoja ambaye ni Rais wa Ukraine alijua ataweza kushindana na urusi.alitaka kuuza nchi Kwa NATO tulia afundishwe kwanza.kwa hiyo wewe unaona Sawa kuwaangalia Tu watu Fulani wakipata mateso ya vita?nyie ndo hao watu tunaowaongelea.
 
Ulikiwa wapi kuyasema haya wakati gadai anauwawa?
 
Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.

Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.

Dunia hii haiko sawa kabisa.
Ila waarabu wakipigwa na USA si huwa unashangilia wewe......
 
danganya makinda wenzio...
history io wazi chanzo cha vita ya nchi ulizk zilist hapa. Somalia chanzo ni Farah Aidid na kundi lake
Libya, chanzo ni mpumbavu mmoja hivi alizani Libya ni kama duka lake.
mnaandika koment na kutaja taja majina na ya nchi ili ku- justify uovu.
Chizi hili,nenda leo libya uwasikie wenyeji wanavyo sema,
 
Sijajua kwann tuna tabia ya kuhalalisha sijui ni kufurahia jambo baya kwa kutumia jambo baya lililofanywa kipindi cha nyuma.

Mtu kafariki mwingine anakejeli, ukimuuliza kwann unakejeli jibu ni wakati fulani anafariki uliuliza waliokuwa wanakejeli? 😂😂😂.
Ndio dawa yenu nyie wanafiki kupewa za uso,

Wakiuawa wengine mnachekelea,hao wanaoua wenzao siku wakichezea kichapo mna anza kulia lia,au mnafikiri kuna roho zina thamani zaidi kuliko zingine?

Ukipanda ubaya utalipwa ubaya,

Huyo Zelensky katumika tu kisha akaachiwa msala peke yake,

Sasa nyie wamarekani weusi wa Namanyere vumilieni tu mpaka dozi ya dawa ya Putin iishe kwenye bomba la sindano.
 
Mbona kama una usingizi,

Embu nenda kwenye friji chukua maji ya bardi nawa halafu njoo na hoja yako ukiniadress kama mtanzania mwafrika na si mmarekani.
 
Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.

Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.

Dunia hii haiko sawa kabisa.
Tatizo unaangalia sana media ZA West
 
Chizi hili,nenda leo libya uwasikie wenyeji wanavyo sema,
Shut up your mouth, hata leo wakongo wanateseka kwasababu ya vita vilivyo anza baada ya kuondolewa mabotu seseko.
acheni ujinga wa kik*ma kupotosha history kwa interest zenu.
nyau wewe.
 
KURA YA VETO inapigwa muda huu kama URUSI ivamiwe au iachwe
 
danganya makinda wenzio...
history io wazi chanzo cha vita ya nchi ulizk zilist hapa. Somalia chanzo ni Farah Aidid na kundi lake
Libya, chanzo ni mpumbavu mmoja hivi alizani Libya ni kama duka lake.
mnaandika koment na kutaja taja majina na ya nchi ili ku- justify uovu.
Kwahiyo watu wa yukreini ni bora zaidi kuliko wanao uwawa kwenye hizo nchi?
 
Sio unafki kila mtu ana choice yake Yuko huru ni wapi aumie au wapi afurahie, kuna watu wanafurahia Putin anavyoua watu huko Ukraine ni choice Yao wengine wamahuzunika ni choice Yao, usiite watu wanafki kwa sababu hawafanyi unachotaka wewe maisha hayako hivyo
Ni unafiki kama alivyosema wala hajakosea,hasa mijitu Black,ni zero kabisa

Likitokea tatizo ulaya,mashariki ya kati au marekani huko wanakuwa na hash tag kibao......
 
Ndugu zangu watanzania kwanini muone unafiki kwa wananchi wengine kuwaonea huruma binadamu wengine wanaoteseka na vita hivi sasa huko Ukraine? Mnajuaje kwamba hakuumia hata vita katika nchi zingine vilivyopiganwa na mamia kwa maelfu ya watu kufa? Je kuna mtu hakuumia katika vita vilivyopiganwa nchi zingine za uarabuni, afrika na kwengineko? Je wayukraine hawapaswi kuonewa huruma kama binadamu wengine waliathirika na vita ? Fikiria baba yako kipenzi au mama yako kipenzi au kaka yako au dada yako au mkeo au mumeo, unavyompenda ndio yuko pale Ukraine sasa hivi kwenye jengo ambalo unaoneshwa kwenye TV kua limepigwa bomu limefumuliwa lote, je ungekua unaongea hivi ?! Au unaongea hivyo sababu hawako Ukraine na hio nchi haikuhusu na hata wanaokufa huko hawakuhusu
Miblack ndiyo maana mnabaguliwa, maana hayo kwetu huku yapo kila kona ila wayukreini ndiyo mnaona binadamu siyo.....
 
Kwahiyo dunia haina haki ya kupiga kelele ili watu wasiuawe kwenye hizo nchi Saa nyingine nyamaza Tu.libya NATO alienda watu wengi wakafa kabla ya hapo walikuwa wanaishi vizuri nchi ilikuwa ni Tajiri.hata Ukraine mpumbavu mmoja ambaye ni Rais wa Ukraine alijua ataweza kushindana na urusi.alitaka kuuza nchi Kwa NATO tulia afundishwe kwanza.kwa hiyo wewe unaona Sawa kuwaangalia Tu watu Fulani wakipata mateso ya vita?nyie ndo hao watu tunaowaongelea.
huna unachojua zaid ya mihemko, mihemko ufunga uwezo wa kufikiri.
you are trying to defend undefendable..misri haikuwa na rais wakati Arab springs? Tunisia haikuwa na rais wakati wa Arab springs? hao marais walichukua hatua gani kuzuia nchi zao zisiingie kwenye machafuko?.
Gaddafi aliua raia wake, akaona hatoshi akaingiza jeshi mtaani kuua, akaua kweli hadi nato ilipoamua kuingilia Kati.
leo mnatumia nguvu kweli kupotosha kuwa ule ulikuwa ni uvamizi wa USA.
 
Back
Top Bottom