Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

Kwahiyo dunia haina haki ya kupiga kelele ili watu wasiuawe kwenye hizo nchi Saa nyingine nyamaza Tu.libya NATO alienda watu wengi wakafa kabla ya hapo walikuwa wanaishi vizuri nchi ilikuwa ni Tajiri.hata Ukraine mpumbavu mmoja ambaye ni Rais wa Ukraine alijua ataweza kushindana na urusi.alitaka kuuza nchi Kwa NATO tulia afundishwe kwanza.kwa hiyo wewe unaona Sawa kuwaangalia Tu watu Fulani wakipata mateso ya vita?nyie ndo hao watu tunaowaongelea.
 
Ulikiwa wapi kuyasema haya wakati gadai anauwawa?
 
Ila waarabu wakipigwa na USA si huwa unashangilia wewe......
 
Chizi hili,nenda leo libya uwasikie wenyeji wanavyo sema,
 
Ndio dawa yenu nyie wanafiki kupewa za uso,

Wakiuawa wengine mnachekelea,hao wanaoua wenzao siku wakichezea kichapo mna anza kulia lia,au mnafikiri kuna roho zina thamani zaidi kuliko zingine?

Ukipanda ubaya utalipwa ubaya,

Huyo Zelensky katumika tu kisha akaachiwa msala peke yake,

Sasa nyie wamarekani weusi wa Namanyere vumilieni tu mpaka dozi ya dawa ya Putin iishe kwenye bomba la sindano.
 
Mbona kama una usingizi,

Embu nenda kwenye friji chukua maji ya bardi nawa halafu njoo na hoja yako ukiniadress kama mtanzania mwafrika na si mmarekani.
 
Tatizo unaangalia sana media ZA West
 
Chizi hili,nenda leo libya uwasikie wenyeji wanavyo sema,
Shut up your mouth, hata leo wakongo wanateseka kwasababu ya vita vilivyo anza baada ya kuondolewa mabotu seseko.
acheni ujinga wa kik*ma kupotosha history kwa interest zenu.
nyau wewe.
 
KURA YA VETO inapigwa muda huu kama URUSI ivamiwe au iachwe
 
Kwahiyo watu wa yukreini ni bora zaidi kuliko wanao uwawa kwenye hizo nchi?
 
Ni unafiki kama alivyosema wala hajakosea,hasa mijitu Black,ni zero kabisa

Likitokea tatizo ulaya,mashariki ya kati au marekani huko wanakuwa na hash tag kibao......
 
Miblack ndiyo maana mnabaguliwa, maana hayo kwetu huku yapo kila kona ila wayukreini ndiyo mnaona binadamu siyo.....
 
huna unachojua zaid ya mihemko, mihemko ufunga uwezo wa kufikiri.
you are trying to defend undefendable..misri haikuwa na rais wakati Arab springs? Tunisia haikuwa na rais wakati wa Arab springs? hao marais walichukua hatua gani kuzuia nchi zao zisiingie kwenye machafuko?.
Gaddafi aliua raia wake, akaona hatoshi akaingiza jeshi mtaani kuua, akaua kweli hadi nato ilipoamua kuingilia Kati.
leo mnatumia nguvu kweli kupotosha kuwa ule ulikuwa ni uvamizi wa USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…