Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mablack yametawaliwa kifikra sana........ hashtags kila kona kama mazuzu......wa yukreini wenyewe wabaguzi kama nn kwa miblack......Endelea kulia maana hapo ni mwanzo tu.
Kuna ushenzi mwingi unaofanywa Afrika, huwa hamuuoni, lkn yakifanyika huko dunia ya kwanza kwa msaada ya pushed agendas through Western Media, mnajikuta watia huruma na utu.
Hayo ni mwanzo tu, tuendako hata wao watafanana na kongo kwa vurugu,
Huwezi kuelewaueleweki
Mimi pia nimeumia mnoMimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.
Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.
Dunia hii haiko sawa kabisa.
Kuna mdau kakwambia tatizo unatizama Sana propaganda za magharibi[emoji4]huna unachojua zaid ya mihemko, mihemko ufunga uwezo wa kufikiri.
you are trying to defend undefendable..misri haikuwa na rais wakati Arab springs? Tunisia haikuwa na rais wakati wa Arab springs? hao marais walichukua hatua gani kuzuia nchi zao zisiingie kwenye machafuko?.
Gaddafi aliua raia wake, akaona hatoshi akaingiza jeshi mtaani kuua, akaua kweli hadi nato ilipoamua kuingilia Kati.
leo mnatumia nguvu kweli kupotosha kuwa ule ulikuwa ni uvamizi wa USA.
Narudia hakuna wa kuivamia Urusi, hakuna wa kugusa pale hata awe naniKURA YA VETO inapigwa muda huu kama URUSI ivamiwe au iachwe
Kuna kumpangia mtu maisha kwenye ukweli.Huwezi mpangia mtu maisha ndugu, as we speak Kuna watu wanaomboleza wengine wako bar wanakunywa bia, wengine wako Wana nyanduans
Masuala ya kuwa pro america ni maisha yake ni choice yake, we anzisha Uzi ambao ni bure kabisa kuhsu somalia, Eritrea n.k
Hakuna hata Kiongozi kutika nchi ya Afrika aliyekemea ama kweli aliyetuloga kafaMbona wasyria au wa Libya hawakuonewa huruma mpaka walikuwa wananyimwa malazi wakikimbia ulaya?waliitwa wakimbizi,waliambiwa hawana sifa ya kuwa kwenye nchi zao.
Kama Ile ya BLACK LIVES MATTER wakati hapa kwetu watu walitekwa, wakauwa na wengine kupotea hakuna aliyepinga watu kimya.Ni unafiki kama alivyosema wala hajakosea,hasa mijitu Black,ni zero kabisa
Likitokea tatizo ulaya,mashariki ya kati au marekani huko wanakuwa na hash tag kibao......
Wako sahihi kabisa sababu hata ktk BibliaSijajua kwann tuna tabia ya kuhalalisha sijui ni kufurahia jambo baya kwa kutumia jambo baya lililofanywa kipindi cha nyuma.
Mtu kafariki mwingine anakejeli, ukimuuliza kwann unakejeli jibu ni wakati fulani anafariki uliuliza waliokuwa wanakejeli? [emoji23][emoji23][emoji23].
Na hakuna Taifa teule hapa UlimwenguniMbona hujaumia kwa anachokifanya Israeli kila Mara kwenye ardhi ya wapalestina.
Au kwasababu Israeli Ni taifa teule[emoji4]?
Hadi mtu unaweza hisi tumelaaniwa na nani hadi tufikie hatua ya kuwa mazuzu kiwango hicho [emoji848][emoji16]Waafrika sisi wajinga sana,Kila mtu pray for Ukrainian.........wakati huku kwetu shida tupu watu wanaokufa huku Africa ni tofauti na hao huko?
Kilichotokea Libya
Kilichotokea Misri
Kilichotokea Tunisia
Kilichotokea Sudan
Ilikuwa ni watu kutika Magharibi mwa afrika kupandikiza watu wao ili itokee insurgency na wao wapate nafasi ya kuingia kwenye Hilo Taifa wakisema wanaenda kutoa humanitarian aid kumbe wakamwaga siraha na kubadilisha regime hii ndio inaitwa false flag siku hizi
Kwa nini Misri baada ya Arab spring na kiongozi wakamchagua kwa demokrasia wa Muslim brotherhood akatofautiano kimawazo na wamagharibi wakafanya mpango akapinduliwa na Jeshi,
Na General Al sis ambaye ni kibaraka wa Marekani kuingia uliona kukemea kwa Mataifa ya Magharibi kuhusiana na undemocratic nature iliyotokea ila walizidi kuipa msaada Misri kwa sababu kwao inaserve strategic mission zao, funguka macho mtu mweusi jua mizania isiyo sawa watumiayo mabeberu.
Mnafamu nini kilichoendelea Sudan, Kilichoendelea Lebanon
Baada ya hapo Mashariki ya kijasusi duniani yakajua Kilichoendelea hivyo
walivyotaka kuingia Syria kwa kutumia mbinu zile zile wakazuiliwa na mrusi.
Wakaenda Hong Kong kwa pre text ya uhuru wa habari na kujieleza
Uliona jinsi wachina walivyolishughurikia.
Wakaenda Belarus wakidai Kuna rigged election results uliona walivyohandle
Wakaenda Kazakhstan hii juzi juzi tu uliona CSTO ikiongozwa na Mrusi walivyodhibiti Yale machafuko kupitia nguvu yaani aim to kill,
Wamagharibi walivyoona mbinu Yao imeshindikana wakaanza kusema Urusi wamevamia Kazakhstan na Warusi waliingia hawatoki lakini walivyomaliza walitoka kwa amani
Lazima ujue hawa jamaa Wana mbinu nyingi na Wana operate kutumia hizi NGO to impose their idea na Kuna watu wanalipwa fedha nyingi kuinstigate hayo mambo.
Kwa usiseme mhemko ila umeonyesha jinsi ulivyo mtupu
Kilichotokea Libyahuna unachojua zaid ya mihemko, mihemko ufunga uwezo wa kufikiri.
you are trying to defend undefendable..misri haikuwa na rais wakati Arab springs? Tunisia haikuwa na rais wakati wa Arab springs? hao marais walichukua hatua gani kuzuia nchi zao zisiingie kwenye machafuko?.
Gaddafi aliua raia wake, akaona hatoshi akaingiza jeshi mtaani kuua, akaua kweli hadi nato ilipoamua kuingilia Kati.
leo mnatumia nguvu kweli kupotosha kuwa ule ulikuwa ni uvamizi wa USA.
Tena hakuna shetwani aliyejificha ktk kichaka cha democracy na kutoa vimisaada uchwara ilihali anachochukua(rasilimali) ktk hizo nchi za kupewa misaada ni zaidi ya 75% - 90% na kuwauzia silaha baada ya kuchonganishwa kivita na kupambana ninyi kwa ninyi kama USA.Kilichotokea Libya
Kilichotokea Misri
Kilichotokea Tunisia
Kilichotokea Sudan
Ilikuwa ni watu kutika Magharibi mwa afrika kupandikiza watu wao ili itokee insurgency na wao wapate nafasi ya kuingia kwenye Hilo Taifa wakisema wanaenda kutoa humanitarian aid kumbe wakamwaga siraha na kubadilisha regime hii ndio inaitwa false flag siku hizi
Kwa nini Misri baada ya Arab spring na kiongozi wakamchagua kwa demokrasia wa Muslim brotherhood akatofautiano kimawazo na wamagharibi wakafanya mpango akapinduliwa na Jeshi na Al sis kuingia uliona kukemea kwa Mataifa ya Magharibi kuhusiana na undemocratic nature iliyotokea ila walizidi kuipa msaada Misri kwa sababu kwao inaserve strategic mission zao, funguka macho mtu mweusi jua mizania isiyo sawa watumiayo mabeberu.
Mnafamu nini kilichoendelea Sudan, Kilichoendelea Lebanon
Baada ya hapo Mashariki ya kijasusi duniani yakajua Kilichoendelea hivyo
walivyotaka kuingia Syria kwa kutumia mbinu zile zile wakazuiliwa na mrusi.
Wakaenda Hong Kong kwa pre text ya uhuru wa habari na kujieleza
Uliona jinsi wachina walivyolishughurikia.
Wakaenda Belarus wakidai Kuna rigged election results uliona walivyohandle
Wakaenda Kazakhstan hii juzi juzi tu uliona CSTO ikiongozwa na Mrusi walivyodhibiti Yale machafuko kupitia nguvu yaani aim to kill,
Wamagharibi walivyoona mbinu Yao imeshindikana wakaanza kusema Urusi wamevamia Kazakhstan na Warusi waliingia hawatoki lakini walivyomaliza walitoka kwa amani
Lazima ujue hawa jamaa Wana mbinu nyingi na Wana operate kutumia hizi NGO to impose their idea na Kuna watu wanalipwa fedha nyingi kuinstigate hayo mambo.
Kwa usiseme mhemko ila umeonyesha jinsi ulivyo mtupu
Kwa kweli una Roho wa Mungu ndani Yako! Kiukweli vita siyo kitu kizuri ni kibaya sana.Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.
Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine.
Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa Zelensky,nawahurumia wananchi wa Ukraine,nawahurumia wanawake,watoto,wazee na hata vijana wa Ukraine.
Vita sio nzuri hata kidogo,watu wanakufa,damu zinamwagika na wengine wanapata ulemavu.
Mali zinapotea,miundimbinu inaharibika,biashara hasara,wagonjwa nyumbani na mahospitalini wanataabika.inauma sana.
Zelensky anatia huruma sana masikini ,hawezi kubaki wala hawezi kutoka.kijana mdogo sana huyu,Hana hatia yoyote.
Usikute alikua analaghaiwa na wamarekani na pengine akitaka kuwakatalia huenda walikua wanamtisha.
Inawezekana alikua anatishwa na wamarekani na baadae akawa anatishwa na Warusi,hakua na uchaguzi.
Ukiangalia baada ya kuvunjika USSR Ukraine ilikuwepo na Urusi haikua na shida nayo.
Ukweli Hadi hapa Ukraine Haina kosa lolote kubwa la kufanya Urusi iipige namna hiyo.tatizo lililopo ni walaghai kutoka nje.
Hasira za Urusi ni kwa Nini Ukraine inataka kumletea Urusi Adui yake mpakani?
Ukiikaribisha NATO ,umeshamkaribisha USA.
Na USA na Urusi na maadui wakubwa.
Kwa kweli najaribu kuvaa moyo wa Zelensky naona hakuna mtu hapa duniani kwa Sasa anaepitia kipindi kigumu kama yeye.roho inaniuma sana.
Zelensky Yuko kwenye janga.amebaki na watu wake TU.
Ni kweli Urusi atawekewa vikwazo lakini haiwazuii Warusi kumuua Zelensky kama wakimtia mikononi.
Inatisha.
Naomba Mungu muumba wa Dunia na vitu vyote vinavyoonekana amuepushwe Raisi huyo kijana na kifo kwa Sasa pamoja na madhira mengine atakayopitia.poa namuonba Mungu Baba awanusuru wa ukraine bna maafa ama maangamizi yoyote.
Dunia hii haiko sawa kabisa.
Wanaume je huwahurumii? Acha ubaguziMimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA.