Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

Hapana naumia sana kuona watu wanakufa.
Sijalaumu Urusi naumia TU watu kufa.
 
Dunia haitulii hii kila siku vurumai...kinachoendelea Sasa ni Kama muendelezo tu unaofanywaga na mataifa makubwa ulimwenguni kwa nchi mbalimbali...
 
Iwe kwa ajali au kwa magonjwa,Mimi Huwa naumia sana.
Kwa taarifa Yako Marekani ndio chanzo Cha yote haya,na ndio kamtia kiburi Zelensky.
Sijasema Urusi Hana haki ya kujilinda .
Ninachosema Mimi ni kuwa Kuna watu wanataabika kwa vita hii ama vita yoyote.
Kwa kifupi siwezi kifurahia kwa mtoto yoyote au mtu yoyote akifa kwa sababu ya vita.
Nilikua naumia sana nikisikia ISIS imeua au imechinja mtu.
Naumia sana watu wakifa kwa njaa,naumia sana tu.
 
Dunia haitulii hii kila siku vurumai...kinachoendelea Sasa ni Kama muendelezo tu unaofanywaga na mataifa makubwa ulimwenguni kwa nchi mbalimbali...
Akikujibu nitag mkuu.
Icebreaker unadhani napinga anachokifanya Urusi?
Noo,nimeingiwa na huruma tuu kibinadamau.
Urusi ana haki ya kujilinda hiyo Haina ubishi.
Lakini ni hulka ya binadamu kuguswa mtu akifa..
 
Nashangaa sana ujue?
Yaani watu bwana ,hizo nchi wanazotaja as if vyanzo hawavijui ,wanajitoa ufahamu
 
Asante Mkuu.
Nadhani wewe umenielewa.
 
mpaka sasa inapoendelea vita ya UKRAINE dunia sio kama inavita hio tu MKUU kuna SYRIA LIBYA YEMEN nk
Umeona nyuzi kama hizi kuhusu haya maeneo?
unataka nini tena ujue kama kweli kuna unafiq?
 
hata hii ni upuuzi wa zelensky kufanya anajua kila kitu
acha anyooshwe[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Mimi kama Mimi niliumia sana kuhusu maangamizi yote hayo uliyoyataja hapo juu.

Niliumia watu kufa ,Iraq, Afghanistan,Libya,Kosovo,Chechen,watu kupotezwa na Jiwe,somalia,Boko, Haram,
Vifo vya matetemeko,Sunami,njaa,mioto ajali na Kila aina ya vifo ukiwa ni pamoja na korona.

Kumbuka hapa sipingi mpango wa Urusi kujilinda hapa naumia kibinadamau TU.

Hii vita inheweza kuepukika kama sio Hila za USA.
Huyu Zelensky amepelekeshwa TU na USA.
 
Kwani wewe Nyerere wako alivyokuwa anaipiga Uganda kulikuwa hamna watoto kule Uganda au wanawake-acheni upumbavu wenu basi.
 
Ndio matatizo ya kuchagua Marais ambapo kazi yake ilikiwa kukuta viuono stag,Rais anashindwa Ku make right judgment kwa ajili ya watu wake.Anaona Marais wengine wote waliopita hapo Ukraine miaka na miaka walikuwa wajibga kutotaka mashirikiano na hao NATO-walijua kitakachotokea.
 
Je, kwann hukuumia uonevu ulofanywa na NATO na ufaransa dhidi ya libya? USA na NATO dhidi ya iraq, afghanistan, syria?
 
hata hii ni upuuzi wa zelensky kufanya anajua kila kitu
acha anyooshwe[emoji35][emoji35][emoji35]
Hapa ndio msingi wa hoja yangu ulipo.
Viburi vya watu wachache vinaponza wengine.
Zelensky kwa kudanganywa na kulishwa upepo na USA akajaa kiburi,
Sasa matikeo yake kipigo anachopata kinawaumiza hata wengine.
Na Marekani kwa dharau zake amemponza Zelensky.
Sasa kinachotokea wengine wanakufa na kuteseka sababu ya watu wachache.

Sijakosoa kuhusu Urusi kujilinda.
Urusi ana haki ya kujilinda.

Kama Zelensky na NATO na Marekani wangeachana na mipango Yao ya kuiunga Ukraine kwa NATO Urusi asingetoa kipigo,na hivyo watoto,na wanawake na wazee na hata vijana ambao Mimi Sasa nawahurumia hapa wasingekufa.
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…