Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

Ulikiwa wapi kuyasema haya wakati gadai anauwawa?
Niliyasema sana wewe hukuwepo wakati naumia hasa kwa kitendo Cha Gadafi kuteswa kabla ya kuuwawa,
Nilichukizwq sana na vifo vya wa Iraq,Syria na kwingineko.
Kifo kinatia huzuni Bro.
 

Unaona unavyoweweseka na kupachika pachika matukio yasiyohusiana ilikupata mutililiko wa hoja zako zisizo.
unaposema baada ya Arab spring wamisri walichaguo kiongozi kutoka Muslimbrotherhood unakuwa unamaanisha nini?.
kuna tofauti gani na mtu kusema:, baada ya Serikali ya Samia kumfunga mwenyekiti wa chadema {Mbowe} wanachedema wakachagua kiongozi mwingine toka chedama,hii ina sound logic kweli?.
Muslim brotherhood ni chama chenye nguvu Misri kule hakuna Christian brotherhood, hindu brotherhood, ama athest brotherhood hata useme WESTERNERS walitaka kuweka kiongozi toka kwenye hivyo vyama ilikufanikisha ajenda zao.
arab spring haina uhusino na unachokieleza hapa.
Chief, elewa kuwa propaganda zinatumika kila upande.

mfano ni hapa hapa bongo kuna watu wana amini kuwa Nyerere alitumwa na Kanisa katoliki kwenda kumg'oa Iddy Amini kwasababu alikuwa ni muislam na watu hao uwezi badili mtazamo wao.
sasa wewe Endelea kuamini kuwa kila wananchi wa nchi fulan wakitaka mabadiliko watakuwa wamepandikizwa na Westerners kufanya hivyo.
yaan full ujinga ujinga fulan wa Kulaum wengine. Hong Kong ni kama zanzibar akina Sheikh Farid walikuwa wanapigania zanzibar yao iwe huru, bilashaka hao nao kuna watu wanasema ni pandikizi la Westerners.
Pathetic
 
hata hii ni upuuzi wa zelensky kufanya anajua kila kitu
acha anyooshwe[emoji35][emoji35][emoji35]
kosa la rais wa Ukraine ni kukataa kuchaguliwa upande wa kusimama. ideology ya kuwa Ukraine ni nchi huru inapaswa ijiamulie upande wa kuhegea imemponza.
 
Nashangaa sana ujue?
Yaani watu bwana ,hizo nchi wanazotaja as if vyanzo hawavijui ,wanajitoa ufahamu

kuna watu uwongo uwapa furaha ya moyo.
yaan history ipo wazi ila mtu anaamua kuipindisha kwa maksudi tu.
wanasiasa utumia uongo ili ku win wananchi, na wana win kweli kweli. wanapata kura kupitia uwongo, wanapata mishahara mikubwa na pesheni nene pale wanapostaafu.

at least hao wana uhalali wa kudanganya coz wananufaika na uwongo wao.
sasa mtu yupo Jf uenda hela ya bando alienda changanya kokoto na kusogeza tofari uko kwenye jengo la Ahmad then anakuja hapa kuandika uwongo tupu ilhali anufahiki na chochote na huo uwongo.
unajiuliza why mtu anafanya hivi bila kuwa na profit yoyote!! ndiyo unagundua kuna watu waongo kwa Asili.. uongo ufurahisha nafsi zao.
 
Aaah wapi, usingeli comment vile chief
unataka sema nini chief?.
Kwamba tukio la Mbowe kuwa sehemu aliko sasa inategemeana unaagalia chombo kipi cha habari? ukitazama Chedema online uko utube watakutakuambia Mbowe yuko gerezani. ila ukitazama Tbc utaambiwa mbowe yupo jimboni Hai kwenye kikao cha ndani cha Bawacha?. ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜
 
Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ