Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Mkuu kulingana na story waonekana hujapiga mashine vzr? next time utuwakilishe vizuri bwana tusiwe tunalaumiwa.
 
Mara nyingi hua sisomi nikiona maelezo marefu hivi lakini kwa uandishi huo kwakweli nmesoma bila kuchoka ,uandishi mzuri ,sasa sidhani kama hujui cha kufanya umeoa unajua nn ufanye...E zaidi yakukuharibia ndoa hamna lingine, naata ndoa ikiharibika sio rahisi umuoe yeye!! Pima matendo yako utajua chakufanya
 
Ushauri wangu endelea kufanyanya nae office moja juu ya kumgegeda endelea nae kwa sababu mkeo amekuwa Mtu wakukupa stress na vilevile kuna sehem anapiga shoo ndio maana ana kiburi Fulani(akimwaga mboga we mwaga ugali
mmmmmhh imagin ndio wewe unahitaji ushauri alafu ukashauriwa hivi utajisikiaje na uko kwenye shida sijui wajua wewe
 
Saa hizi ni mchana,hebu tuambie sasa mmewezaje kukutana na E hapo ofsini?

Au kila mmoja akimuona mwenzake anakula kona?
Tulionana mara moja tu ile asubuhi, kila mtu akaendelea shughuli zake! nimetoka mapema lakini niko zangu home muda huu, natafakari tu na slow music
 
Ushampenda E hilo lipo wazi na trust me hamtaacha huo mchezo mpaka mkeo agundue
 
Daah!
Mkuu umeipanga stori vizuri kishenzi yaan. Big up endelea kutupa mikasa yako hapa ikikutokea.
Ki ufupi tu ni ulichepuka na mkeo kwa kuwa bado hajajua basi piga kimya songa mbele hayo mambo ya kuteleza yapo.
Pili kuhusu E fanya mpango akuelewe msimamo wako na weka mipaka msije mkarudia tena kwa namna yoyte, japo ningekuwa mimi ndio wewe ningeomba kwanza mechi ya marudio nimuweke E vzuri halafu ndio nimuache moja kwa moja.
Big up kwa stori kali mzee
Uandishi mzuri plus mechi ya marudio naunga mkono hoja
 
Kutana na E mjadiliane ni namna gani mtaishi hapo ofisini....lazima muwe na jibu la pamoja na makubaliano hapo utakua na amani ila ukitaka leta kiburi basi E atakua Mwiba kwako
 
Mr Rabboni
Kwanza nikupe pole sana kwa uamuzi ulioambua kuuchukua ukiwa kama Mume na Msingi wa familia, nimesikitikika sana umekuwa mdhaifu na kuamua kuisaliti ndoa yako na mkeo, na pia kujionyesha uchi wako mbele ya mwanamke asiyestahili kuuona,

Nakushauri nikiwa nimeoa na imani yangu Mkristo, ndoa yangu ina 10 yrs, nilikuwa na uelewa mdogo tu kama wewe, na ilikuwa mechi za mchangani zikitokea napiga bila shida
Naomba nikushauri kwani niliyekuwa nimepotea kama wewe na sasa nimeyajua makosa yangu na nimetubu mbele za mola Wangu na nimebadili mwenendo wa maisha yangu for Good.

Nilikiwa na mechi mchangani driving force ilikuwa inatoka kwa wife kwani yake alikuwa akiifungia na nikikutana na "E" ananifungulia. Hamu na Wife ilikuwa imepungua sana. Ilikuwa ni big mistakes nilikuwa nafanya. na hii ni kutokana na kiburi na ubinafsi wetu wanaume

Kitu ambacho sikukijua ni kwamba pale ambapo problem inatokea wanandoa mkae muongee kwa pamoja na mkubaliane kutokukubaliana, Siku moja nikakaa nae kwa upole sana nikamwambia problems zake na yeye akanieleza problems zangu siku hiyo tuliongea almost usiku kucha, na hapo tayari tuna 3 kids nikaja kupata ufahamu. Since that day namuona mke wangu ni watofauti sana na kila siku inavyozidi kwenda nazidi kumpenda. Nikaagana na mwili wangu na mindset yangu mambo ya mechi za mchangani sasa basi. we now enjoying each other kwa speed 120kh

Naomba unisikilize Mr Rabbon na wana JF wenye tatizo kama lako. Please note hautaweza badili tabia ya mwenzako kwa kutoka nje, utaleta maradhi na madhambi mengi sana kwenye familia yako. ukikusoma bibilia angalia reference zilizoko kuanzia Mwanzo mpaka Malaki utakugungua kwamba pale usaliti unapotokea katika ndoa anayeadhibiwa na Mungu ni mwanamme sio mwanamke mfano Daudi..do the home work utashangaa na kustaajabu..

Unachotakiwa kufanya ni kutubu kwa Mola wako na kwake E" kwa kumchafua na kumuweka kwenye hukumu ya Mungu, Pili ukaombe radhi kwa Mkeo kwa ulichokifaanya na uahidiane na nafsi yako kwamba hutorudia tena.
Tatu usiogope kuongea na mkeo kuhusu mienendo wenu kimapenzi (sex appetites) Mtume Paulo katika wakorintho anasema Mume ni mali ya Mke na Mke ni mali ya Mume nini maana yake? kile unachofurahia kimapenzi mkeo ndio wakukufanyia and otherwise. ukigundua siri hiyo utamfurahia ndoa yako sana..

Nakutakia amani ya Bwana.
Amen barikiwa sana mwenye masikio na asikie neno hili tuache shingo ngumu na tujue kutenda dhambi kuna vunja mahusiano yetu na Mungu yaani inafika mahali mtu amuwazi Mungu kuwa nikifanya hivi namkosea
 
Duh, the perks of letting the small head rule the big one! Enewei..............................

Mkuu ukienda job just pretend like nothing happened! . Do not allow miss E any air time to reminisce about the encounter nor the any of your escapades. Be the same but slighty different. i.e. Maintain a friendly and courteous demeanor but ensure you keep all your interactions and "convos" within a professional line.
 
1. ni tamu ila ndefuu
2. una roho mbaya yaan mwenzio ahamishwe idara kisa wewe??
3 asali haionjwi Mara moja
4, Kwa nn hukutumia ndom???

u must answer this,
5, do u love E??? no explanation just say yes/no

am waiting nataka kukupa jibu la ulichoandika
 
wote mna zengu 8 years E ana nyodo watu kama hao huwa wana heshima sana we mrudi uweke heshima kabisa ila uwe kama pele maana nahuakika huyo manzi ni mtamu hatari. na usije ukakuta alikuwa bikira
 
wote mna zengu 8 years E ana nyodo watu kama hao huwa wana heshima sana we mrudi uweke heshima kabisa ila uwe kama pele maana nahuakika huyo manzi ni mtamu hatari. na usije ukakuta alikuwa bikira
Hakuwa bikra mkuu
 
Unataka kumuacha?!..hujafurahia mambo yake?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo Ni mazuri lakini hata kutania ndoa hajawah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji21]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo Ni mazuri lakini hata kutania ndoa hajawah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji21]
Anakujali na msumari anakupigilia vzr?

Muulize tu haya mambo inabidi uwe muwazi
 
Hii story ni tamu,angeweka na kapicha kidogo ingenoga zaidi
 
Back
Top Bottom