Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Vyuo vikuu vimejaza wasichana wazuri sana wenye umri wa miaka 20~23 ambao kila ukimhitaji atakuja kukusuuza rungu kwa vi-allowance vidogo vidogo tu. Sijui baadhi ya wanaume wenzangu kama wewe mtoa mada mnapotea wapi.
Hawa wanasaidia sana; tatizo hisia zinaendana na muonekano wa mtu, inawezekana wa mtaani akawa na umbo zuri kuliko hawa wa chuo.
 
Kuwa na demu sasa hivi ni gharama kuliko kuwa na familia yenye watoto kumi.

Na walivyo wapuuzi wanaomba hela kila siku utafikiri wewe unakisima cha kwenda kuchota tu.

Kheri akuchune hata laki tano kila baada ya mwezi mmoja au miwili kuliko hawa wakuomba 20k, 30k 50k kila siku.

Hongera kwa kukimbia matatizo.
 
Kaa kimya hivyohivyo usimjibu text wala akipiga, wewe endelea na mishe zako
Na hii nimeona niitumie kama silaa; kwa sababu alinitumia sms akitaka M ili arejeshe uhusiano, nikamjibu ijumaa nitamfanikishia; lakini kiukweli nimepanga kutotekeleza, na sitegemei kumpigia simu wala sms au kupokea simu zake.​
 
Wanakuwa na gharama sana, nadhani labda kwa sababu wanajua hutomuoa ndio maana wanakuwa wanakomoa.
 


"ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji" biashara, sio hisia
 
Hawa wanasaidia sana; tatizo hisia zinaendana na muonekano wa mtu, inawezekana wa mtaani akawa na umbo zuri kuliko hawa wa chuo.
Hahahaa siku zote usipende kuongozwa na hisia kama mwanaume hayo waachie wanawake. Mwanamke asiwe kipaumbele ila awe sehemu tu ya maisha yako, ukivuka hili litakusaidia sana hutaona tena kama huyo wa mtaani ana umbo uzuri.

Shida yako kubwa ukipata mwanamke unayem-perceive ni mzuri akili yako ina-shut down kufanya kazi ktk mfumo wa kawaida tayari unaanza ku-fantasize mahusiano kama tamthilia. Siku zote wewe focus kumkaza ila yeye ndiye anapaswa kukulazimisha muwe na mahusiano. Nimeona sehemu unasema unampeleka mpaka outing kuna kajamaa kama mimi kanamwita nyumbani kwake na haendi na rafiki yake.
 
Sasa nduguu upewe poleee autuseme mwanakulitafuta mwanakulipata🤔
 
Na hii nimeona niitumie kama silaa; kwa sababu alinitumia sms akitaka M ili arejeshe uhusiano, nikamjibu ijumaa nitamfanikishia; lakini kiukweli nimepanga kutotekeleza, na sitegemei kumpigia simu wala sms au kupokea simu zake.​
Kwanini umemjibu? Hapo ndiyo umekosea wewe kaaa kimya na kaza kuwa kimya, hata aongee vipi na kujionesha kajirudi kaa kimya kabisa usihadaike na maneno yake. Usirudie hilo kosa tena
 
We ndio hujui sasa, fanya namna umpate rafkiake full stop
 
Wadada wengi kwa sasa wanajiuza,mbinu tu ndio zimetofautiana...binti unamtongoza akikubali na hapo hapo anatua mzigo wa matatizo yake yote,kula,kuvaa,kusuka,mtaji n.k,ukiona mwanamke omba omba jua yupo kibiashara zaidi...ukiona hivyo usiweke mipango ya maisha naye,maana mwenzio hayuko na ww kimapenz,bali nipe pesa nikupe ngono...kwa wanaume wasiojiongeza na kuwajua hawa dada zetu, lazima upigwe.
 
Pole kwa matukio uliyopigwa,at least you've learned your lesson the hard way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…