[emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]mshamba_hachekwi mwenzio kakimbiwa Chezea Wanawake na [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112]
Umeona kilio cha Mwanaume mwenzio hapo juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112] anasema[emoji116][emoji116][emoji116]
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Wewe ni fala flan sema tu una hela ndio pona yako..Umenikera sana.Alikuwa anapangua hoja si mchezo
Fantana mtupu, diamond hajakoseaNilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Kwenye mahusiano mahesabu ya mapato na matumizi huwa hatuyafuatilii🙄😂Pumzi ilikata sio? 😅😅😅
Kila ukipiga hesabu ya ulichotoa na ulichopewa unaona unafanya biashara kichaa 🤣
Tunaita RAT RACEKwenye mahusiano mahesabu ya mapato na matumizi huwa hatuyafuatilii🙄😂
Muhimu hilo mkuu hawa viumbe wanapita tu maisha lazima yaendelee. Hasa haya mahusiano yasiyo na malengo yoyoteKwenye mahusiano mahesabu ya mapato na matumizi huwa hatuyafuatilii🙄😂
Tafta mwingine mkuu ukiwa na madem kama hawa 3 ivii hata kasi ya kutafta pesa inaongezeka na upeo wako unakuwa huto nielewa kwa sasaNilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Ana point asikilizwe☝👈Tafta mwingine mkuu ukiwa na madem kama hawa 3 ivii hata kasi ya kutafta pesa inaongezeka na upeo wako unakuwa huto nielewa kwa sasa
[emoji625][emoji625]Pole...tafuta level zako....chukua mzigo size yako uishi kwa amani
Hayana 4mula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ulikuwa danga tu, utakuta kuna boya anamla vizuri kabisa tena bila hata kutoa pesa
🤣🤣🤣🤣🥴🥴🥴🥴😤😤😤😤😩😩😩😩😹😹😹😸Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.