Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nimeutua mzigo mzito jana usiku

mshamba_hachekwi mwenzio kakimbiwa Chezea Wanawake na [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112]

Umeona kilio cha Mwanaume mwenzio hapo juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112] anasema[emoji116][emoji116][emoji116]

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
 
Alikuwa anapangua hoja si mchezo
Wewe ni fala flan sema tu una hela ndio pona yako..Umenikera sana.
Wewe ungekua kapuku hakyanan ungeishia tu kupiga nyeto mpaka ufe .
NB
Aisee mpaka nikatoe pesa hovyo hovyo jua kaz imefanyika.
Sitoi hela bila kupewa mzigo..Na sitoi hela isiopatana na utimam wa akil. Akil ikigoma tu ikahis napigwa bas nyege huwa zinakata fasta.

Ningekua mimi hapo, idadi alizochukua pesa yangu ndio idadi niliomgonga na kuzid.
Kwakifup wewe ulikua unauziws.Sasa bora ungekua unazama exotic online unavuta mrembo location unachapa anasepa no string attched!!
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Fantana mtupu, diamond hajakosea
 
....mahusiano miezi miwili....

Sasa hayo ni mahusiano ya kimapenzi ama NGONO TU ya "give and take".....

Unapoanza jambo kwa mguu wa kushoto unategemea nini ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja ninae nami anapenda hela kama pochi dudu hataki kutoa nimempa hela sasa juzi kati nimempiga mzinga wa 200K akaingia akanipa. nikajisemea bora nami nijilips kidogo.
 
Equation x bado umeshikilia msimamo au ume surrender ukarudisha majeshi...kuacha sometimes inakuwaga ngumu!!!
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Tafta mwingine mkuu ukiwa na madem kama hawa 3 ivii hata kasi ya kutafta pesa inaongezeka na upeo wako unakuwa huto nielewa kwa sasa
 
Screenshot_20230614-215549.png
 
Unaonekana hauhudhurii vikao vya humu ,mbinu zote za kivita zilishatolewa humu wewe unafeli wapi?, Hukutakiwa kumpiga chini mapema hivi, huyo ungetafuna mpaka ukimbie mwenyewe
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
🤣🤣🤣🤣🥴🥴🥴🥴😤😤😤😤😩😩😩😩😹😹😹😸
 
Back
Top Bottom