Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #81
''ukiona mtu mzima mamaa, analia mbele za watu..ujue kuna jamboo....''mshamba_hachekwi mwenzio kakimbiwa Chezea Wanawake na π°π°π°π°π°π€£π€£π€£π
Umeona kilio cha Mwanaume mwenzio hapo juuπ€£π€£π€£π anasemaπππ
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nyoooh, hapa story tuuuh, msije mkatumia sura zetu kunanihiii bure bila kulipia mapato serikaliniππππππWeka sura,mwanamke jiamini
Huyo ni wa kumkimbia kabisaHisia zake zinaamshwa na salio π π
Ndio nipo kwenye harakati
Ooh hao viumbe hawana huruma wanakukamua tu bila hurumaKweli usiposhtuka mapema, utajikuta unatimiza ndoto zake badala ya za kwako
πππ,si kuna PM jaman,pa kubadilishiana # then ndo tuanze kulipiaNyoooh, hapa story tuuuh, msije mkatumia sura zetu kunanihiii bure bila kulipia mapato serikaliniππππππ
π π π safi sana, location mikoa minne pseJimbo lipo wazi pia na Wala sichuni zaidi ya kupokea Moto unao nipelekea
Mtalizwa Sana huku jf bro, huko mtaani wadada wameisha Hadi uanze kuthaminisha avatarπππππππ,si kuna PM jaman,pa kubadilishiana # then ndo tuanze kulipia
Ni hitaji la msingi, kuna vitabu vimechambua hilo.Kumbe kupeana tendo la ndoa ni haki!!!πππ
Ngoja nitafute salio lililonona, nitimize hiliJifanye kama unajirudi, akishusha kufuri tu unampa kitu unasepa.
Hawa wapo kwa ajili hiyo so wala usiwaze mara mbili.
Wakijifanya hawana wakubwa wala wazazi wa kuwasikiliza basi sisi ndiyo Walimwengu wenyewe, tuwanze hiyo ndiyo kazi tuliyopewa na methali za mababu.
We acha tu, kwa siku unatumia zaidi ya laki 5 ukiwa naye; ilikuwa ni kukaribisha umasikini tuBora hata wewe ulimla, kuna watu wanahonga hadi laki 5 na papuchi hawapati Equation x
Kama unatumia luku ni ngumu kumpa hyo zawadi ya kudumu kwenye damu.Aje kwangu najua kuhonga ela lakin ajue ntamuachia zawadi ya kudumu kwenye damu yake
Siku nyingine demu wa dizaini hiyo omba ushauri wa Wakulungwa usingejuta ungechukua point 3 bila kelele.Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
Nb: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi
Hii hatariAje kwangu najua kuhonga ela lakin ajue ntamuachia zawadi ya kudumu kwenye damu yake
Wewe si umeshaweka?Ebu weka picha tuthibitishe
ha ha ha tatizo tunataka kukojole.a kuzurihukomi tuuππ, shauri yako πππ
Naona anapiga miguu yote.