Nimeuziwa gari la urithi bila kuelewa, najinasuaje huu msala

Maelezo yaliyo nyooka, hajabadili kadi n.k mtu anampa pesa, wao mara nyingi wanataka kukaa na gari.
Hii nimejaribu kwenye microfinance hizi ndogo ndogo za mtaani wao wanakaa na gari, lakini pesa unayopewa ni ndogo sana mfano nimezunguka leo takriban microfinance nne ikiwemo "MKOPO HARAKA" kati ya zote hizo iliyotaja kima kikubwa ni 5M tena kwa marejesho ya kila wiki.

Nikaona hailipi nikajiribu na macrofinance kama TBP wao hawakai na chombo lakini wanataka majina ya kwenye kadi yawe sawa na majina halisi y ya mnufaika wako tayari kunipatia hata 15M.
 
Unashinda asubuhi tena tutawafungulia na kesi ya uhujumu uchumi na wizi
Leo nimefika kituo cha polizi X nikakutana na OCCID ambaye ni jamaa yangu anaitwa J alichoniambia ni hivi " kama itathibitishwa huyo mama kweli ameidhinishwa na mahakama kama msimamizi wa mirathi basi aliyenitapeli sio mwenye mali(Ni mwizi ambaye kaiba gari mama yake na kuliuza) ,Ni kama kununua Fridge au TV iliyoibwa, kama huyo mama atafungua kesi lazima nikamatwe alafu gari walizuie (seize) kisha nifikishwe mahakaman kama mwizi wa gari( hiyo ya kwamba nimemenunua itakua ni utetezi wangu ila mahakaman ntafikishwa kama mwizi, mahakama itataka kuthibitisha kuwa mm sio mwizi kwa kutoa vielelezo kama kadi ya gari (kadi ikiwa haina jina langu itabidi nitafute shahidi mwenye kadi original anitetee kuwa aliniuzia mimi ama nipeleke kielelezo cha kununua toka kwa mwenye gari kitu ambacho sina) kwa lugha nyepesi siwezi kuishawishi mahakama kuwa gari ni langu hvyo naweza tia hatiani kwa wizi na kutokana na kesi ilivyo naweza lipa fidia na kurudisha gari , kufungwa sio sana utetezi unaweza nibeba sababu ya mtoto wa complainant. Mimi na Dogo wote tuna kesi ya kuiba gari la watu".

"Pia kama ntafungua kutapeliwa inatakiwa nionyeshe aliyenitapeli ni mwenye gari, Awe huyo mama sasa ama sivyo gari litazuiwa na atapewa muhusika afu mm ntapewa RB ya kumtafuta Tapeli" pia hata ikiwa ni wizi wa Kuaminika bado aliyenipigia simu sio aliyeingia makubaliano na mmi"

Haya ni maelezo ya bwana afande manyota
 
Maelezo hayo yapo kitaalamu kweli.!

Kuna mdau ametoa wazo la kuwafuata watu wake wa kiroho wa huyo mama ili mjaribu kulitatua kijamii.

Je unaonaje hilo maana saa nyingine ukiona sheria zinakugomea waweza tumia tia huruma.!!!!
 
Mbona kawaida sio mara ya kwanza nanunua gari kwa mtindo huu
Bahati uliyonayo tofauti na mleta mada ni kuwa: wewe ulikua ukupata nyaraka zote pamoja na viambatanisho vinavyohitajika ili kubadili umiliki. Na wewe ulikua ukipata mali halali isiyo na makandokabdo toka kwa mmiliki mwenye jina kwenye kadi jambo ambalo ni tofauti na kwa mleta mada.
Bado ninasisitiza kuwa mleta mada ametapeliwa
 
Maelezo hayo yapo kitaalamu kweli.!

Kuna mdau ametoa wazo la kuwafuata watu wake wa kiroho wa huyo mama ili mjaribu kulitatua kijamii.

Je unaonaje hilo maana saa nyingine ukiona sheria zinakugomea waweza tumia tia huruma.!!!!
Nafikilia kufanya hili , ila changamoto huyu mama alihamia Arusha kitambo.Ina maana nifunge safari hadi Arusha ndo kinachoniwazisha.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwezi wa 6, 2022 kuna jamaa aliniuzia gari Mkoa wa Mwanza (Crown 2010). Tukaandikishiana vizuri kabisa nikatoa hela nikapewa kadi, nikakamilisha taratibu kama bima nk sikuweza badilisha umiliki sababu ya kukosa nakala halisi za jina la mwenye kadi.

Basi katika kuvimba nalo mjini nashangaa juzi napigiwa simu na bi maza anayedai yeye ndo msimamizi wa mirathi nimeuziwa gari lake bila ridhaa yake na anakusaidia kunipeleka polisi kama mwizi wa gari.

Yule mama ana mkataba halisi wa mauziano ya gari yeye akiwa kama shahidi wa mume wake tena muuzaji akiwa ni yule ambaye jina lake lipo kwenye kadi.

Wakubwa nafanyaje kwenye hili? Nimevurugwa kabisa yule dogo aliyeniuzia simpati tena, maza mtu kasema ananipa mwezi mmoja niwe nimeshaamua.
kama kadi ni original na uliuziwa kihalali nenda tra fanya transfer kwa jina lako then the rest will follow
 
Sikuona umuhimu maana mkataba wa maudhiano upo tena tulipitia ofisi ya mwenyekti wa mtaani kwao dogo, sikuwa na shaka maana ni mkazi wa huo mtaa na gari amekua akilitumia yeye tangu 2017 mzee wao alipofariki, baada ya kufariki nyumba na gari vya Mwanza alibaki navyo dogo mama yao akaenda Kuishi ARUSHA (Haya ni maelezo ya ufupi kutoka kwa majiriani wa mtaa baada ya kupeleleza kidogo)
Hivyo ondoa hofu

Subiri wakupeleke kama ni polisi ama mahakamani kwakuwa umenunua kwa utaratibu, mahakama au polisi wataamua urudishiwe pesa yako, au mama atapoteza.

Wala usifikiri kuchukua mkopo utajiongezea matatizo tu yasiyosababu.
 
Hakuna namna naweza shinda kama tukienda mahakamani? Nina mpango afungue tu kesi afu tukutane mahakamani ila wasiwasi wangu ni uhakika wa kushinda kesi.
Ni sahihi kabisa kabisaa [emoji817].

Na wala usipaniki, endelea kutumia hilo gari, mwambie mama niko tayari kwenda mahamani.
 
Leo nimefika kituo cha polizi X nikakutana na OCCID ambaye ni jamaa yangu anaitwa J alichoniambia ni hivi " kama itathibitishwa huyo mama kweli ameidhinishwa na mahakama kama msimamizi wa mirathi basi aliyenitapeli sio mwenye mali(Ni mwizi ambaye kaiba gari mama yake na kuliuza) ,Ni kama kununua Fridge au TV iliyoibwa, kama huyo mama atafungua kesi lazima nikamatwe alafu gari walizuie (seize) kisha nifikishwe mahakaman kama mwizi wa gari( hiyo ya kwamba nimemenunua itakua ni utetezi wangu ila mahakaman ntafikishwa kama mwizi, mahakama itataka kuthibitisha kuwa mm sio mwizi kwa kutoa vielelezo kama kadi ya gari (kadi ikiwa haina jina langu itabidi nitafute shahidi mwenye kadi original anitetee kuwa aliniuzia mimi ama nipeleke kielelezo cha kununua toka kwa mwenye gari kitu ambacho sina) kwa lugha nyepesi siwezi kuishawishi mahakama kuwa gari ni langu hvyo naweza tia hatiani kwa wizi na kutokana na kesi ilivyo naweza lipa fidia na kurudisha gari , kufungwa sio sana utetezi unaweza nibeba sababu ya mtoto wa complainant. Mimi na Dogo wote tuna kesi ya kuiba gari la watu".

"Pia kama ntafungua kutapeliwa inatakiwa nionyeshe aliyenitapeli ni mwenye gari, Awe huyo mama sasa ama sivyo gari litazuiwa na atapewa muhusika afu mm ntapewa RB ya kumtafuta Tapeli" pia hata ikiwa ni wizi wa Kuaminika bado aliyenipigia simu sio aliyeingia makubaliano na mmi"

Haya ni maelezo ya bwana afande manyota
Askari muda wote wanawaza uhalifu tu.

Huwezi kuwa mwizi wakati umenunua kihalali mbele ya serikali ya mtaa.
Na aliyekuuzia kalitumia tangu 2017.
Kwa miaka 5. Ina maana mirathi haijafunguliwa na mali kugaiwa mpaka sasa?

Huyo askari ni chokoo.

Ungelikuwa DSM ningekwambia ufike ofisini kwetu tutatue bila shidaaa.
 
Hii nimejaribu kwenye microfinance hizi ndogo ndogo za mtaani wao wanakaa na gari, lakini pesa unayopewa ni ndogo sana mfano nimezunguka leo takriban microfinance nne ikiwemo "MKOPO HARAKA" kati ya zote hizo iliyotaja kima kikubwa ni 5M tena kwa marejesho ya kila wiki.

Nikaona hailipi nikajiribu na macrofinance kama TBP wao hawakai na chombo lakini wanataka majina ya kwenye kadi yawe sawa na majina halisi y ya mnufaika wako tayari kunipatia hata 15M.
Huu sasa ndio wizi na utapeli.

Utafungwa ndugu.
 
Huu sasa ndio wizi na utapeli.

Utafungwa ndugu.
Najaribu kupata solution, yani nachukua mkopo sirejeshi kusudi gari lipigwe mnada na auctioneers mm niwe nimesolve kiaina.
 
We bwana kiufupi usha jichachanganya kiufupi zidi kumlilia huyo maza na akizingua wape gari yao ufanye maisha mengine na hilo libaki funzo
 
Kwa hali hii, ya uchumi wa chini unaanzaje kuachia more than 12M bro?
 
Jaribu kutakatisha huo ununuzi. Kimaingi hakuuza gari ila alikutapeli. Chakufanya ili kutakatisha wewe mwite huyo jamaa, aliyekuuzia, pia na warithi wote mjadili pamoja na kufikia mardhiano. Mnaandika Kwa wanasheria, thereafter,. Lengo ni kuonyesha kuwa umenunua Kwa warithi wote. Baada ya hapo utabadili jina blue card kuja kwenye jina lako. Utakuwa umetakatisha ununuzi. On the contrary gari siyo lako Hilo muda wowote watakuja kuchukua wenye nalo.
Nimependa namna ya kujoin the battle inclusion strategy. Ambapo alipaswa kulitafakari jambo hili hapo mapema.

Kwa kuwa alivyonunua yule dogo alikuwa akitaka mkwanja Kwa Hali na mali angepambana kuwashirikisha wanandgu. Japo mother asingekuwepo.

Vile vile mnunuzi alipaswa kuwa na aina ya upelelezi na kuomba ushauri kabla..

Binafsi nilikuwa na bajeti ya 10M nikawaza Sana gari za mokononi. Na changamoto zake nulihofia Sana. Kuagiza naona haitoshi na nikitaka gari kubwa ambalo si la kutumbukia.

Mazee nikaamua kununua kiwanja. Nyingine nikaila
 
Mgari ya mkononi ni risk aisee.

Pole mkuu lakini shukrani kwa kutoa funzo kwa wengine.

Endelea kumtafuta dogo hata kwa washkaji zake wa karibu huku jitihada za kusolve na maza zikiendelea.

Mbembeleze huyo maza huenda akakuelewa ila ukipanick mara nyingi sio rahisi kupambana na wanawake huku duniani, wanabebwa bebwa sana.
 
Kwa kadi ambayo haina jina langu?

Hana cha kusema yeye anadai maza wake alimpa lote lote ndo maana hata kadi alikuwa nayo so anashangaa maza imekuwaje anakua hivi, ila saa hizi huyo dogo hapatikani kabisa.
Kutopatikana ni Moja, ila ikifika wakati Muafaka atatafutwa
 
Hii nimejaribu kwenye microfinance hizi ndogo ndogo za mtaani wao wanakaa na gari, lakini pesa unayopewa ni ndogo sana mfano nimezunguka leo takriban microfinance nne ikiwemo "MKOPO HARAKA" kati ya zote hizo iliyotaja kima kikubwa ni 5M tena kwa marejesho ya kila wiki.

Nikaona hailipi nikajiribu na macrofinance kama TBP wao hawakai na chombo lakini wanataka majina ya kwenye kadi yawe sawa na majina halisi y ya mnufaika wako tayari kunipatia hata 15M.
Kaka hao Mkopo haraka na TBP wanapatikana wapi maana nina shida na hela.
 
Back
Top Bottom