T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
ShunieHahaha pole
UsiueMpe sumuuu tu
View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Sawa mkuuKama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
Heeeee😳Tulia nae tu fisi ukimdometicate yuko poa kuliko mbwa ! Just last week nilikuwa na jadili na wife kufuga fisi as a pet akikubali tuta fanya business utamleta zenji akikataa tutafanya swaping wewe na fisi mtakuja zenji wife na paka atakuja kwenu -joke
Mambo ya Wasukuma hayoUtakusaidia kusafiri nyakati za usiku@Mshana
Atanisababishia nipeleke mbuni sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndiyookwahiyo ukavutiwa na puppy😂😂😂😂
Haswa nyakati za usikuJemima Mrembo mhh mambo ni mengi sana kwenye hii Dunia!!
Ni baby hyenaHhhh huyo ni mbwa koko
Usipende kununua vitu kwenye masoko yasiyo rasmiHadithi Yako inatufundisha nini?
Weekend vipiiii?Piga supu mziito kabisa Hapo,Tena Hata hammalizi Hata na majirani😄😄
Jemima ni Biblical name, she was Job's daughter.Kama sio chai ya strungi basi fuga hiyo makitu itakusaidia mbeleni maana una nyota ya kichawi au umerithi jina la marehemu bibi yako sasa mizimu imeamua kukupa mikoba bila weye kujua.
Fuga hilo dubwasha litakusaidia kuwa linaenda kuiba mifugo kama mbuzi na kuku kwa majirani
Nasikia anatamani mkono uanguke auleKitu fisi hicho,Ila fuga hivyo hivyo ,Kwani Hapo kibaka Hata katiza,Ila pia uwe tayari kuwa kitoweo siku moja🏃♀️🏃♀️
Hakika!!Haswa nyakati za usiku
Simulizi yako hii mtu akisoma lazima acheke sana tu.View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Huyo Hata tamani tu mkono udindoke,Ila atatamani amle boss😄Nasikia anatamani mkono uanguke aule
Nasikia vimanunu vinakula watuHuyo Hata tamani tu mkono udindoke,Ila atatamani amle boss😄