Hakuna kesi hapo ukimrudisha, unatoa maelezo tu ila akimdhuru mtu Kwa kumtupa utasakwaNaogopa kesi jamani
Hili wazo zuri sana.Usimuuze wala kumgawa kwa mtu.
Mpeleke ofisi za Kata waelezee ulipomnunua ili wamchukue watamrudisha mbugani
Watanikuta wapi?Hakuna kesi hapo ukimrudisha, unatoa maelezo tu ila akimdhuru mtu Kwa kumtupa utasakwa
Hili wazo zuri sana.
Asi-act kama vile Hana elimu Kwa kumtupa kokote,
Sitaki mambo ya kuisaidia polisi. Hii ni nyara ya serikali, sawa tu na bundukiHili wazo zuri sana.
Asi-act kama vile Hana elimu Kwa kumtupa kokote,
OiYaani chai yako imekosa cha kutafunia, hata hiyo garage bubu yako umeshindwa kuedit... View attachment 2413635
Yaani shost umenichekesha haji nimejamba haki ya nani!! eb njoo in box nina jambo na wewe!View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja...
Aka sitaki, nyie ndio mapongo wenyeweYaani shost umenichekesha haji nimejamba haki ya nani!! eb njoo in box nina jambo na wewe!
Mbona unanisisimua hivi wewe?? hapo sijakuona je nikikuona itakuwaje mrembo!Aka sitaki, nyie ndio mapongo wenyewe
View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja...
View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja...
Usimrudishe, fisi ni hatari kuliko mbwa halafu anafaa kwa usafiri wa dk tuu umefika mkoa wowote. Kwa ufahamu zaidi wasiliana na Mshana JrNakupa namba ya mume wangu, mimi mambo ya majibwa sitaki tena.
Mbona kambwa kazuri tu haka jamani matunzo tu 🤣🤣🤣View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.