Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Yaani chai yako imekosa cha kutafunia, hata hiyo garage bubu yako umeshindwa kuedit...
IMG_20221111_175240.jpg
 
Kuna news niliona juzi wale jamaa wa pale Sayansi wanalalamikiwa na watu kuhusu uholela wa kuuza mbwa.

Nadhani watu wengi watakuwa wameuziwa mbwa wa wizi pia.

Fisi dah
Hili wazo zuri sana.
Asi-act kama vile Hana elimu Kwa kumtupa kokote,
 
View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Mbona kambwa kazuri tu haka jamani matunzo tu 🤣🤣🤣
 
You are truly an idiot.
 
Back
Top Bottom