Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSio fisi ni bongoshelfered, ni mix ya australian elliounous na manyema red dogs
Hayo masikio kama bakuli mbwa hana.Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hv huyo ni fisi kweli???Mteja kwangu ni mfalme nakuahidi kukufikishia Hadi kwako
Tuma namba hizo PM chap chap nikutumie picha uchague
Hukujamba wakati unacheka?Ingawa nimecheka sana
Nilikunya kabisaHukujamba wakati unacheka?
Wasiwasi upo kwenye picha uliyotuwekea. Huyo fisi anaonekana akiwa porini na si katika gereji kama unavyotaka tuamini. Rudi kapige picha ukiwa umempakata kwani puppy huwa wapole ndo maana uliweza kwenda naye hadi nyumbani kwako pasipo kupata madhara yeyote. Kule kwetu Usukumani tunawatunza vizuri tu, ila hakikisha una nyama ya kutosha kama chakula chake.Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.