muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Yupo njema, anahonga akina Sepetu.Sasa hivi hali ikoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo njema, anahonga akina Sepetu.Sasa hivi hali ikoje
Ulivyomalizia 😂Ulipotaja pesa na ukataja mwanamke
Bro I.promise wewe hiyo Hali itakurudia ni swala la muda tu umaskini hautakuacha
Yaan pesa huna unawqza kuhonga? Mshenzi mkubwa we🤣🤣🤣
Unatoaa mahari laki4 kwan wanunua shambaNikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
- Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu
- Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili kioo
- Kuna muda unatembea ili ubane nauli
- Ombea usiumwe, shughuli inaanza unafika hospitalini huna Bima na mifuko imetoboka, ndio hapo unaanza kutafuta mizizi na mitishamba maporini
- Mapenzi ya kudumu yalikuwa kitendawili, Mwanamke unakuta anakupenda ila hata kumpa pesa ya vizawadi au matunzo huna, sizungumzii zile level za kuhonga / vizinga bali kutimiza wajibu as a man, hata mahari ya laki 4 huna.
Numbisa unaonekana ni mpole sana NAKUPENDAPole
Kweli pesa muhimuKijana ukiwa unajitafuta punguza mahaba maana yatakuchelewesha sana, kaza sana atakaejaa kwenye mfumo ajae kwa kupenda hali yako yeye mwenyewe.
Umasikini ni mbaya sana, kukosa hela sio kuzuri hata kidogo. Bora uvuje jasho uchafuke haswa ila mwisho wa siku unapata pesa. Tutafute hela wakuu.
Pesa ina umuhimu sana, kuna shida bila pesa haitatuliki.Kweli pesa muhimu
Do you still love her?Mimi kuna demu ilikuwa tuna pendana sana nimemaliza chuo life tight anataka tuonane hata hela ya nauli ya kumtumia sina hata hela ya guest sina ni moja kati ya wanawake walionipenda sana alinivumilia sana siku moja kanipigia simu analia kuuliza wahuni washamjaza mimba ananiomba msamaha ila yule mwanamke.
Yupo kwao jamaa alikimbia mimba demu akarudi kwao mpaka leo tunawasiliana nimeshaoa ilan anatamani nimuoe hata mathna ila hapana mungu hajapanga umasikini usikie tu kwa jirani.
Numbisa unaonekana ni mpole sana NAKUPENDA
Umasikini ni aibu Mungu atusaidie sanaNikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
- Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu
- Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili kioo
- Kuna muda unatembea ili ubane nauli
- Ombea usiumwe, shughuli inaanza unafika hospitalini huna Bima na mifuko imetoboka, ndio hapo unaanza kutafuta mizizi na mitishamba maporini
- Mapenzi ya kudumu yalikuwa kitendawili, Mwanamke unakuta anakupenda ila hata kumpa pesa ya vizawadi au matunzo huna, sizungumzii zile level za kuhonga / vizinga bali kutimiza wajibu as a man, hata mahari ya laki 4 huna.
Kwa kweli, umasikini mbaya sanaNikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
- Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu
- Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili kioo
- Kuna muda unatembea ili ubane nauli
- Ombea usiumwe, shughuli inaanza unafika hospitalini huna Bima na mifuko imetoboka, ndio hapo unaanza kutafuta mizizi na mitishamba maporini
- Mapenzi ya kudumu yalikuwa kitendawili, Mwanamke unakuta anakupenda ila hata kumpa pesa ya vizawadi au matunzo huna, sizungumzii zile level za kuhonga / vizinga bali kutimiza wajibu as a man, hata mahari ya laki 4 huna.
Hapana mkuu yeye ndio ananisumbua mimi ila mi nimesha move on na nna familia tayariDo you still love her?
Basi tu nataka ujibu ... Tujadili kitu
Samahani Mkuu! Kwa maswaliHapana mkuu yeye ndio ananisumbua mimi ila mi nimesha move on na nna familia tayari
Na ukaendelea kuwa zwazwaSasa usiombe hiyo hali ikukute halafu afya izingue!.. unaweza ukapumulia ngozi..🤣
It was tough kusema ukweli ilinichukua karibia mwaka kuukubali uhalisia wa tukio hilo lakini nilivuka kupitia self healing na safari yangu ya kusoma vitabu ikaanza hapo vitabu ndio viliniponya nakumbuka nili Google kuhusu kumjua mwanamke nikawa naletewa option nyingi nyingi.Samahani Mkuu! Kwa maswali
Uliwezaje ku move on? Ukizingatia ni mwanamke uliyempenda sana? Au hukumpenda sanaaa?
Maumivu yake yalikuwaje kipindi ulipojua ana mimba na hutaweza kuwa nae Tena?
Hukuyakatia tamaa mahusiano?
Share your experience
Bado Nina maswali
Umenifanya nizidi kuwa na maswali! 😂It was tough kusema ukweli ilinichukua karibia mwaka kuukubali uhalisia wa tukio hilo lakini nilivuka kupitia self healing na safari yangu ya kusoma vitabu ikaanza hapo vitabu ndio viliniponya nakumbuka nili Google kuhusu kumjua mwanamke nikawa naletewa option nyingi nyingi.
Lakini nikapata most suggested book kinaitwa MEN ARE FROM MARS AND WOMEN ARE FROM VENUS kilinisaidia kwakweli mpaka leo nasoma vitabu mkuu vinanisaidia kazini ninapofanya kazi na sehemu nyingine.
Kwa hyo kwa kifupi nilipona kupitia kusoma vitabu mpaka leo sihangaikagi na wanawake mkuu na yeye anahangaikia ndoa hata mke wa pili maana tayari ni age go tunasema.
Any question so far.
Angalia vitabu nilivyosoma 2024 kuna thread yake nilianzisha mpaka sasa February nishasoma sita.
1.you are placebo
2.psychocybernet
3.why we sleep
4.the defining decade
5.master your emotions
6.die with zero
When I'm stressed I reads books
When I'm bored I reads books
When I encounter any difficulties books is my remedy.
Yeah we're good with one kid huwezi amini nimeokota dodo kwenye mpera nimepata mwanamke aliyenisahaulisha kila kitu kwenye maumivu ya mapenzi kwanza mcha mungu lakini pia mwelewa kiufupi mimi labda ndio nizingue kwasababu mimi ndio nilianza naye mapenzi yaani mimi kwake ni first lover sasa huwezi amini ma ex zangu wananisumbua kwasababu nakula bata kweli kweli wakiona status wanashoboka nimetoka zanzibar juzi tu hapa na wife kiufupi nimeanza new chapter mkuu.Umenifanya nizidi kuwa na maswali! [emoji23]
Kwanza nashukuru sana, una moyo wa pekee! Umenijibu vema na Kwa urefu sana!
Kabla ya maswali naomba ni declare hili jambo, Kuna vitu tunafanana! Usomaji wa vitabu.
Dr. Wayne dyer
Dr. Joe Dispenza
Dr. Bruce Lipton
Rafiki yangu Marehemu ambaye nilitamani siku moja kukutana nae ila amefariki kabla ya kuonana nae Bob Proctor
Ni waandishi wangu Pendwa sana! ... Okay! It has been two years now since nimepita kwenye changamoto ya mahusiano yangu kwenda na maji!
I got hope kutoka katika maneno yako! Nami naamini I will be healed one day! na kiweza move on!
I think inakuwa ngumu sana ku move on kwa sababu ya tukio jinsi lilivyotokea na current situation ninayoendelea kuipita!
I'm book adducted read person ila pia napenda kuandika, na nimeandika vitabu kadhaa! ... Ila Toka nipite kwenye hii situation nimeacha kusoma na kuandika pia!
[emoji23][emoji23] Nimesahau mpaka swali Sasa?
Okay!
Baada ya ku move one ... Kuanzisha familia n.k!
Ule upendo uliokuwa nao mwanzo? Vibe, caring, trust and all stuffs about love ... Je viliongezeka au vilipungua kwa huyu shemji mpya uliye nae Sasa?
Do you think huyu uliye naye Sasa ni sahihi na Bora zaidi kuliko yule? Pengine ulitakiwa kutokea ivo ili umpate huyu? Nikiamini this one wa Sasa! She's best for you
Asantee kwa suggestions books
Kuna hatua nikiweza kuivuka! Nitarudi kwenye usomaji wa vitabu na kuandika!