Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

Hiyo Hali tumeipitia wote mkuu Mimi nilikuwa nayoa kipara kuokoa buku buku za kuingia salun mara kwa mara.. yani napga para walau nikae hata miezi mitatu ndio nikanyoe Tena... Home wife anaanda msosi wa kubangaiza napga tonge mbili na act nimeshiba kumbe nawavutia Kasi wale walau maana chakula hakitoshi. Aloo umaskin kmmk!!
 
Kunyoa kipara pia huokoa bajeti ya sabuni ya kuogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…