Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

Irresponsible Guy kwenye moja na mbili. Yani umetongoza na kutomber mwenyewe kwa raha zako huku ukiwa unajua kabisa humpendi huyo mwanamke ila ukawa unakojolea ndani tu.

Kwa scenario tu inaonesha huyo mwanamke kwako alikuwa easy prey, ni aidha ni beki 3 wa mtu kisha umempa mimba na tunajua kabisa mabeki tatu wengi walivyo madumuzi🤣! Kikubwa lea mimba tu acha janja janja huyo ndio kashafika hapo.
 
Akurudishie mimba yako
 
Anayetembea na malaya naye ni malaya tu. Hawana tofauti.
 
Mpe mimba nyingine atatulia tu
 
Tulia hapo hapo.
Ukitoka kazini utawakuta wote ndani kwako wamekaa wanakusubiria.

Mnajua kutuharibia watoto tu, eti eeh ?
 
Yeye alikwambia ana mpango wa kuwa single mother?
Ila wakati mwingine wasichana, wadada na wanawake sijui wanakuwa na akili gani!!!!!! Mtu hajakwambia kuwa ana mpango wowote na wewe, inakuwaje unajiachia tu na kujamiiana na mwanaume bila kinga??? Yaani na mambo yote yanayotokea kwa wengine hatujifunzi kuwa na sisi yanaweza kututokea??? It is high time sasa wanawake tuamke na kutumia akili kuwa hawa wenzetu huwa hawana nia nzuri na sisi. Wao shida yao ni kumaliza upwiru tu ukiwabana. Angalia comments za baadhi ya wanaume wanazozitoa humu!!!!
 
Ukizingua apo utalogwa
 
kiume zaidi
1.mwachie chumba na vyombo vyote vya ndani (usibebe chochote)
2.mpe mtaji huku ukiendelea kumsapoti mlo na mavazi
3.zungumza nae vizuri wala usimwoneshe humkubali
4.fikiria kama ungekuwa ni wewe na unataka tendewa mambo magumu huku una kiumbe tumboni ungejisikiaje
 
Hakuna cha kukimbia

Wakati anakatikia alitegemea nini?
 
Muda wa kukojoa ulikuwa unapata Ila muda wa kwenda clinic ulikosa.... 😭

Kaka nisikilize vizuri....
Hao wwnaokushauri sijui uondoke ubadilishe namba, sjui umpeleke kijijini halaf uhame..m.mmWanakudanganya. Mtendee wema huyo Dada Hadi ajifungue. Mhudumie, mlishe, mveshe, Ila usiongee mengi kuhusiana na maisha ya kuoana. Mtoto akifikisha miaka 2 tafuta house girl asaidie kulea mtoto... Mama mtoto mtafutie kazi ya kufanya kama hana. Ukishaona amesimama sasa Anza vituko hadi mwenyewe anyooshe mikono akuache kwa Amani. Au kama ukiweza kumchana usoni kwamba hukuwa na malengo nye hivyo unaenda kuendelea na life lako sawa tu. Ni naamini hata yeye anajua kwamba mlishaachana ni mimba tu ndiyo ilirudisha mawasiliano.

Kumuoa sio lazima Ila kumhudumia ni lazima kama mimba ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…