Kwa uandishi wa jamaa ni kweli yamemkuta. Na jamaa sio mtoto au mvulana wa shule bali mwanaume tena mwenye kifua kipana na ndio maana kavumilia hadi sasa.
NB: Kifua kipana sio kwa umbo bali kuwa na roho ya uvumilifu au ustahimilivu.
Kwa uzuri na upole wake amewavutia watu na na hiyo makitu. Always ipo hivyo. Lakini kuna namna atabadilika tu.alafu ukimuona humzanii! mpolee mzuriii mwe!
Kwa uzuri na upole wake amewavutia watu na na hiyo makitu. Always ipo hivyo. Lakini kuna namna atabadilika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhahhahahah!alinivuta kwa upole wake jaman !olalalaa
Kuoa mwanamke aliyekuwa anajiuza hakujawahi kumuacha mtu salama!
Kumbe unafaidi best....mastory na nyimbo tena..... umenifurahisha mummie.hahaha hv akiamka huwa ananianzishiastry ambazo nipo interest nazo !hahaa hv ataanzisha la ndge kukamatwa Vancouver hahahah!maana anajua mi mpinzan!haha dah !naskia wanae wanamuimbia wimbo wa I SURRENDER !ahahahah
Unaoa lin mkuudaaa,mliooa mnatabu.
Kumbe unafaidi best....mastory na nyimbo tena..... umenifurahisha mummie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuulize kitu muheshima Fatuma Karume,je kwa mienemdo yooote hiyo ya mleta uzi,unampa cheo gani huyo mwanamke kama cha ukahaba hakimfai?Narudia tena ni kahaba nenda kagoogle neno kahaba ujue maana yake lakini sitabadilisha kauli wala kuitenguahv kwanini mnahukumu namn hiyo jaman !WTF madala mujipa akija kukiri yeye ndo cause utajiskiaje kumuita mke wa mwnaaume mwenzako kahaba ! dah
Naomba nikuulize kitu muheshima Fatuma Karume,je kwa mienemdo yooote hiyo ya mleta uzi,unampa cheo gani huyo mwanamke kama cha ukahaba hakimfai?Narudia tena ni kahaba nenda kagoogle neno kahaba ujue maana yake lakini sitabadilisha kauli wala kuitengua
sileti utani na nakuomba unitake radhi mimi sio mtoto,nimezaliwa very early 70s,kuendelea kuvumilia ujinga nikujitafutia kifo,huyu mwanamke akitoka huko akija naye jamaa anakula mzigo maana yake nini?mwambie mleta uzi naona upo karibu naye asome signature yanguhahaha sasa wewe unaleta utani !ngj nichek tu !unaonekana bado mtoto sana nakuacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... So happy..... at least una upande wa kufurahia....ahhahahaha uwiiii dah !si anataka kunisahaulisha? na mie huwa naliunga kwakweli maana anajua tunavyotokwa povu !hahaha yeah wanangu wanapenda sana kuimba !hhaa bas namwambia rafk angu ananiambia mbiti had watoto waimba nyimbo za gospel bas andaa tu pilau la msiba (akimanisha jamaa atakuwa amerip) !nimecheka had kulia jaman lol!
sizaniiii kama nitaoa leo au keshooo,ndio kwanza 21Unaoa lin mkuu
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Duh wana waza mshikaji ku R.I.P tena.... Burudani sana.ahhahahaha uwiiii dah !si anataka kunisahaulisha? na mie huwa naliunga kwakweli maana anajua tunavyotokwa povu !hahaha yeah wanangu wanapenda sana kuimba !hhaa bas namwambia rafk angu ananiambia mbiti had watoto waimba nyimbo za gospel bas andaa tu pilau la msiba (akimanisha jamaa atakuwa amerip) !nimecheka had kulia jaman lol!
sileti utani na nakuomba unitake radhi mimi sio mtoto,nimezaliwa very early 70s,kuendelea kuvumilia ujinga nikujitafutia kifo,huyu mwanamke akitoka huko akija naye jamaa anakula mzigo maana yake nini?mwambie mleta uzi naona upo karibu naye asome signature yangu
Kama joto limemzidi mpeleke Makete. Ila hatari ya huko Makete anaweza kuwa Pampula mara 10 maana kwa baridi ya huko atalazimika kuwa karibu na spirits.very fun indeed
Ha ha ha ha. shemela kwamba hauelewi??Kipenzi. Mambo.
Hapo kuna lugha moja imetumika. Bado najaribu kuelewa ni ujumbe gani unataka kufikishwa kwenyw jamii.
Kama joto limemzidi mpeleke Makete. Ila hatari ya huko Makete anaweza kuwa Pampula mara 10 maana kwa baridi ya huko atalazimika kuwa karibu na spirits.
Sent using Jamii Forums mobile app