Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Kama wa makete atakuwa amerogwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasema hadi siku uwe na mgonjwa kwenye ambulance ndo utakuwa unaheshimu ving'ora vyake barabarani...@MBITIYAZA watu tushakariri tamthiria.
Jamaa afunguke hapa alimkosea nini mkewe tuyajenge..@madala mujipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha. shemela kwamba hauelewi??
yani sielewi.

Mwanamke arudi nyumbani uchi?
Kweli hapo kosa si la mwanaume?
But bado sijamuelewa kabisa.. Au tumtafute mleta mada nini tumpige mabuti? Asituchezee akili zetu kabisa.
Yani kichwa cha familia mwanaume analalamika kwa makosa yake mwenyewe.
 
Doooh huyo sio mke bali gumegume, bora umrudishe kwa wazazi wake
Hata mimi inaniwia viguu kuamini. Mwanaume gani alale ndani mke yuko mitaani badala ya kumsaka huko aliko na kulianzisha timbwili.
 
Uvumilivu uki kithiri, mwisho unakua mjinga....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kila binadamu mwenye akili timamu, lazima akuwe na kikomo cha mwisho wa uvumilivu....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nimeipenda hiyo kuwa Kila Binadamu Mwenye Akili Timamu, lazima akuwe na Kikomo cha Mwisho wa Uvumilivu... Very Strong word.. Let see if we also apply to our normal life au JF ina words
 
Ana dhalilsha manhood eeh?
 

Nitumie mimi hiyo picha yake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…