Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Bwana mdogo huwa una fiksi sana wewe kila sredi yako JF ni vimbwanga tu...
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Ngumu kumesa!
 
Duh... MBITIYAZA na shosti wako mbea espy njooni mumsome mwanamke wa shoka huku...

Malkia wa nguvu...

 
Ni kweli umejaribu kuvumilia sana lakini akiwa hajalewa hukai naye na kuzungumza haya?
 
Duh!!.....Kwa kweli hii dunia haina haki,wakati hayo yanajiri kuna wanawake wema na wazuri kabisa kama akina miss chagga au sky ila hawapati waume!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…