Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Pole sana...
Na...
Inasikitisha sana...

Kama umeshindwa kumdhibiti mke wako kwa hayo mambo anayofanya, kheri umuache...

Baba ndiyo kichwa cha nyumba, unashindwaje sasa...

Kama easy ways zimeshindikana, use the hard ways...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini




Sakayo kuna mwanamke wa hvyo sehem nayoishi mie ! tena shoga ukimuona hv humdhanii ! dada anakunywa pombe had pombe inamuogope harud kwake, anaeza kata week nzima yuko kitaa ! akitoka nje ukimuona kwenye rav 4 yake utabishaaaaaaaa ! anarudishwa na wanaume akiwa hajitambui !hv muda km huu anaweza kuwa ashalewa anakata tu mauno bar! mie nimeshuhuduia kwa macho yangu mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeee! dada mzuri anajicho zuri km la mama samia ! anajikwtua utampenda nwenyewe ! akiskia neno pombe ananyanyuka ! anachanganya pombe aina km 4 anakunywa ! jaman haongeag yule dada !!ukiambiwa mumewe profesa huez amini ! jumapili anakutumia picha yuko na mumewe kanisani jaman huwa nachekahad nakaa chini !mwokovu !uwiii wapo shogaaa !

huyu mtoa mada angetaja mkoa mwingne(anaomrudisha) tu ningejua ndo yeye !hahahha na mumewe msukuma heheheh! handsup SUKUMA

niliwah muuliza shida sana ni nn akasema mumewe kazaa na mdg ake wa damu !

TEMBEA UONE
 
Pambana na sijui nini yako mkuu

Sent from my TV
 
Mh! Pole sana Mkuu. Jamaa wamemalizana naye mtaani kisawa sawa. Nawe unamjua tabia yake inakuwaje unamruhusu atoke? Marinda yote kwisha kazi. Pole sana Mkuu.

 
Duh hatareee. Kaka wewe una uvumilivu wa kiwango cha PHD.
Mwanamke anaondoka kavaa chupi afu anarudi akiwa hana! Wewe kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh
Na mwanaume anavumilia tuu jamanii... Lakini huyoo nae tayari kuna linalomsukuma anywe, ingawa sio njia nzuri ya kulitatua tatizo.... Mleta mada kasema mkewe ana puuu kabisaa ndani..... Ndo maana Siamini ujue
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Wanawake wa aina hii wapo mkuu,huku kitaa kuna mke wa mtu ana sifa zote alizotaja huyu
 
Duuuh
Na mwanaume anavumilia tuu jamanii... Lakini huyoo nae tayari kuna linalomsukuma anywe, ingawa sio njia nzuri ya kulitatua tatizo.... Mleta mada kasema mkewe ana puuu kabisaa ndani..... Ndo maana Siamini ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…