madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
-
- #121
mkuu Mbitiyaza labda ugomvi ni kumwambia aache pombe na kumrudia mungu na watoto wanaweza pata wenza ni aibu kwa wakwe sema nimekusoma wacha nikamtie kwenye friza huko makete@mudala mujipamrudishe kwa muda kwao huenda akabadilika lakini chanzocha yote haya hakuna ugomvi kweli mkuu?
Makete! Nafikiri huwafahamu watu wa Makete. Na hii imefanya stori yako ionekane ni changamsha jf kwa wanaoifahamu Makete na tabia za watu wa huko. Nimefanya kazi huko miaka 10Salaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.
Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.
Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.
Uvumilivu umenishinda
kabsaaa na staki kujua kaacha wapiEtiiii
Karudi uuuuchi kabsa!?
Wapo kabisaHaya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...
Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Kama ulimuoa kujaribu kumrekebisha basi "UKOME" unafanyaje majaribio kwenye ndoa wewe!!! ILA POLE SANA.Nilimuoa kujaribu kumrekebisha tabia yake lakini duuh
Embu shangaa na wewe jamaniiEtiiii
Karudi uuuuchi kabsa!?
Mkuu hii avatar kama ya Joseverest au umekuja na I'd nyingine?
mkuu Mbitiyaza labda ugomvi ni kumwambia aache pombe na kumrudia mungu na watoto wanaweza pata wenza ni aibu kwa wakwe sema nimekusoma wacha nikamtie kwenye friza huko makete
Dah huyo kunguru wako mbona anasikitisha sana! Watakua walevi wenzie wanajisevia huko .Pole sana...
Na...
Inasikitisha sana...
Kama umeshindwa kumdhibiti mke wako kwa hayo mambo anayofanya, kheri umuache...
Baba ndiyo kichwa cha nyumba, unashindwaje sasa...
Kama easy ways zimeshindikana, use the hard ways...
Tatizo binadamu ni wabishi sana...
Cc: mahondaw
Kasome
Yamefika
Makete! Nafikiri huwafahamu watu wa Makete. Na hii imefanya stori yako ionekane ni changamsha jf kwa wanaoifahamu Makete na tabia za watu wa huko. Nimefanya kazi huko miaka 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu. Ila huyu amekuwa zaidi ya mjinga aisee.Uvumilivu uki kithiri, mwisho unakua mjinga....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kila binadamu mwenye akili timamu, lazima akuwe na kikomo cha mwisho wa uvumilivu....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwani kwasasa Yukowapi???unajuaje kama Yukomafinga kwenye barudi zaidi yamakete???
Duhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kweli kabisa mkuu. Ila huyu amekuwa zaidi ya mjinga aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Akifunua naomba unitag...[emoji39] [emoji39] [emoji39]