Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

@mudala mujipamrudishe kwa muda kwao huenda akabadilika lakini chanzocha yote haya hakuna ugomvi kweli mkuu?
mkuu Mbitiyaza labda ugomvi ni kumwambia aache pombe na kumrudia mungu na watoto wanaweza pata wenza ni aibu kwa wakwe sema nimekusoma wacha nikamtie kwenye friza huko makete
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
Makete! Nafikiri huwafahamu watu wa Makete. Na hii imefanya stori yako ionekane ni changamsha jf kwa wanaoifahamu Makete na tabia za watu wa huko. Nimefanya kazi huko miaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Mbitiyaza labda ugomvi ni kumwambia aache pombe na kumrudia mungu na watoto wanaweza pata wenza ni aibu kwa wakwe sema nimekusoma wacha nikamtie kwenye friza huko makete



yaan alikua pampula toka mwanzo !au ana stress mkuu !mna watt wanagap ? pole sanakila mtu analia na yake
 
Pole sana...
Na...
Inasikitisha sana...

Kama umeshindwa kumdhibiti mke wako kwa hayo mambo anayofanya, kheri umuache...

Baba ndiyo kichwa cha nyumba, unashindwaje sasa...

Kama easy ways zimeshindikana, use the hard ways...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
Dah huyo kunguru wako mbona anasikitisha sana! Watakua walevi wenzie wanajisevia huko .

Anakutia Aibu kwakweli! Pole sana





Mahondaw wa Smart911
 

Kweli kuna wanaume wataenda motoni kwasababi ya wake zao,,,km mpaka anafikia stage ya kurudi bila nguo ya ndani upo tu,,inamana jukumu LA kumkanya huchukuagi wewe,,ndo wale mke anashinda mitaani humwambii kitu anatoka anarudi usiku husemi ati uko peace ,,,peace my foot,,,una ya kujibu badae, chukua hata mapema umponye mkeo kaka
 
waweza achana naye Ila usiache kumsaidia nimzazi mwenzako so msaidie ukitumain IPO siku ataelewa ....ukiamua kumuacha kabisaaaa kwakila kitu naye umemaliza .

Ila mkuuu inamaana umeshimdwa kabisa kumbadilisha mpaka Leo hii mnawatoto ??
 
Pole sana mkuu kama ni kweli.

Ila kwa kwa hatua aliyofikia sio ya kuanza kukaa kusubiri ushauri wa watu. Unatakiwa uchukue maamuzi ili ajue alikofikia hana sifa za kuwa mke.
 
Uvumilivu uki kithiri, mwisho unakua mjinga....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kila binadamu mwenye akili timamu, lazima akuwe na kikomo cha mwisho wa uvumilivu....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kweli kabisa mkuu. Ila huyu amekuwa zaidi ya mjinga aisee.
 
Back
Top Bottom