madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
-
- #141
Nashukuru sana kwa kuonyesha hiki kisa kimekugusa na kumuelewesha mkuu sakayo naona bado hataki kuamini pamoja na kumpa mfano nina watoto watatuyaan alikua pampula toka mwanzo !au ana stress mkuu !mna watt wanagap ? pole sanakila mtu analia na yake
mke wa kwa sadikika haiwezekani mwanamke mmoja ana matukio mengi hivi lol mleta mada wewe ni chiziiiiiiiiiiiiiimoja aliyetoroka Nuremberg kwanza unatafutwa
mke wa kwa sadikika haiwezekani mwanamke mmoja ana matukio mengi hivi lol mleta mada wewe ni chiziiiiiiiiiiiiiimoja aliyetoroka Nuremberg kwanza unatafutwa
mmh ukisema hayo nashindwa hata kujibu ila aksante mkuu
ukirudi na ww pitia AngazaSalaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.
Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.
Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.
Uvumilivu umenishinda
huyo sio mwanaume,,,wanaume hatuna hzo tabia subiri atakuja kukueleza jinsia yake kua mpoleHaya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...
Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
sawa mkuu nitalifanyia kazi daah huyo mahondaw ni shida sema nitamueleza smart 119 matatizo yakemie mwenyewe nimebaki kuumia tu unamuita mke wa mtu kunguru !anywys pole !pole saana !hebu mkalishe chini akiwa hajalewa mwambie anavyokudhalilisha anajiaskiaje??
mmh ukisema hayo nashindwa hata kujibu ila aksante mkuu
Salaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.
Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.
Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.
Uvumilivu umenishinda
Pampula hii story ya kutungwa kabisa, ni mtunzi mzuri huyu.
[emoji102] [emoji101]Mkuu hii avatar kama ya Joseverest au umekuja na I'd nyingine?
kiukweli si sahihi kwa 100 percent
Sikujua kama duniani kuna wanaume wenzangu wavumilivu kwa kiwango hcho
Sent using Jamii Forums mobile app