Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

yaan alikua pampula toka mwanzo !au ana stress mkuu !mna watt wanagap ? pole sanakila mtu analia na yake
Nashukuru sana kwa kuonyesha hiki kisa kimekugusa na kumuelewesha mkuu sakayo naona bado hataki kuamini pamoja na kumpa mfano nina watoto watatu
 
mmh ukisema hayo nashindwa hata kujibu ila aksante mkuu

mie mwenyewe nimebaki kuumia tu unamuita mke wa mtu kunguru !anywys pole !pole saana !hebu mkalishe chini akiwa hajalewa mwambie anavyokudhalilisha anajiaskiaje??
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
ukirudi na ww pitia Angaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
huyo sio mwanaume,,,wanaume hatuna hzo tabia subiri atakuja kukueleza jinsia yake kua mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie mwenyewe nimebaki kuumia tu unamuita mke wa mtu kunguru !anywys pole !pole saana !hebu mkalishe chini akiwa hajalewa mwambie anavyokudhalilisha anajiaskiaje??
sawa mkuu nitalifanyia kazi daah huyo mahondaw ni shida sema nitamueleza smart 119 matatizo yake
 
mmh ukisema hayo nashindwa hata kujibu ila aksante mkuu

Ndio mkeo hafugiki... Sa mambo gani hayo anavokufanyia??? Ni aibu kama mke wa mtu kufanya hiyo. Mpaka kujinyea sijui kurudi bila chupi aaawwsssssshhh ni balaa hilo mke wa mtu . Historia kubwa ya mambo hayo ya kulala kibalazani sijui nje ni wanaume.. So sad kwakweli..ashakua addicted huyo . Mkeo Anahitaji maombi mkuu.

Mahondaw wa Smart911
 
Duh... MBITIYAZA na shosti wako mbea espy njooni mumsome mwanamke wa shoka huku...

Malkia wa nguvu...

images
Pampula hii story ya kutungwa kabisa, ni mtunzi mzuri huyu.
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda

UONGO
 
Pampula hii story ya kutungwa kabisa, ni mtunzi mzuri huyu.

jaman hv kwann hamuamini lakini! nashindwa kumhoj tu mtoa mada huenda ndo yule shost !haya mambo yapo jaman !kila alichosema huyu kaka na huyo dada copy!
 
Hizi ni story tu hakuna mwanaume wa kumvumilia mke wa aina kama hii
 
Back
Top Bottom