Kwamba kuna sayansi ya asili katika vibubu? Pole sana mkuuDah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi,
Haha! kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Ha ha ha nimecheka hadi nimekaa chini! 😂😂😂
Nilikuwa nasoma kwa umakini sana nione malaki iliotengenezwa 😂😂😂😂
😂😂😂Wakuu kama kuna mtu haamini hii kitu, anunue kibubu (huenda vibubu vingine havina chuma ulete, sielewi katika hili) aweke hata buku kila siku (kwa walau siku kumi)
And then avunje aje atupe mrejesho!
😂😂Mwaka 2017 niliaamua kusave pesa zangu katika mfumo kama wako, nikawa naweka elfu 10 moja 1,Yaan ikiwa Nina elfu 5, 5 mbili basi itabidi nimtafute mtu nimpe chanji ili nipate noti moja ya 10 elfu.. siku moja nilikuwa napesa nyingi nikaweka elfu 10 kama kawaida then roho inaniambia weka elfu 2 hiyo ni ya soda siku ukivunja kibubu,nikaweka..Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi,
Haha! kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Mkuu mimi naishi peke yangu, na hapa hakuna mtu yeyote ambaye ana mazoea hata ya kuja kunitembelea,Pole Sana mwanangu,kajipooze na chochote, lakini vp umejaribu kuangalia mazingira unayoishi hakuna mtu mwingne ambae anaweza kuzichomoa? mpk ukaamini moia kwa moja Ni mambo ya utamaduni?
Kwa hiyo ulinunua kibubu ili ukipime na mazingaombwe yake, kwani ulihisi ungekuta mabilioni humo au?Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi,
Haha! kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Upo mkoa/wilaya gani mkuu?Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi,
Haha! kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Uko wapi mkuu nije tuagize wote hiyo kitimoto na pepsi baridii! Maisha mafupi sana😂 ila kweli unakumbuka uliziweka hizo noti mkuu? Unaamini zimechukuliwa kimaajabu?Hapa nimekaa kwenye sakafu nafikiria na usiku huu plus baridi hili natamani niende nikachukue kitimoto lost ya hii hela yote iliyobaki niondoe mikosi!
Ahaaa kumbe ndiyo nyie! Nakumbuka tulivokua wadogo na mdogo angu huyo alipita na hela yangu kwenye kibubu tena ilikua 150! Nililiaa aisee sitosahau afu akabisha siyo yeye maana kibubu kilikua kimefungwa vilevile kama hakijaguswa😂Watu mna vituko mpaka basi 😂😂😂
Humo ndani ya chumba chako mnakaa wangapi?
Kuna kakaangu miaka ya nyuma alikuwa na tabia yako ya kutunza hela kwenye kibubu, sasa mimi kutokana nilikuwa mtundu wa ufundiufundi nikawa napora kiakili kidogokidogo bila yeye kujua... Siku alipokuja kuvunja niliona sura yake imebadilika sana lakini yeye mwenyewe akawa haamini kama ni michezo ya kibinaadamu.
Pole tumia kibubu Cha kisasa toka benki ACHANA na VIBUBU vya chuma ulete.Juzi Kuna mtu kavunjwa bega huko wamejichanga wakaweka laki8 walipo kivunja wakakuta makaratasi ya daftari Tena Yale madaftari ya zamaniiiiiDah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea