Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 877
- 1,128
Baridi ni kali sana huko kwa miezi hii?Niko hapa kwa makonda mkuu, "daslam"
😂😂😂😂😂😂Hivi vibubu mnawezaje?
Mi ni mtaalamu wa kujiibia mwenyewe kwa kutumia kitu chenye ncha nachomoa tunoti.
Afu zikiwa hazitoki tena natikisa mpaka chenchi zote ziishe.
Ila mwisho wa mwaka ndo nitavunja kabisa sijawahi kujua huwa nategemea kukuta nini 🤣🤣
Achukue Cha benki mkuuNilitaka kutengeneza mwenyewe, tatizo muda kaka!
Ubize mwingi, na nilipoona hivyo vidude vinauza buku tu nikaona kitonga hii hapa naserereka na buku langu, kumbe ni matatizo!
Pole MkuuMkuu mimi nimejionea kwa macho yangu mwenyewe, nafikiria hapa haya mabaki ya kibubu niyatie moto wa petroli au gesi
Hahahaaaa du so VIBUBU TU mkuu na mikoba ya wanawake ishu Kama hiyo ipoHapa nimekaa kwenye sakafu nafikiria na usiku huu plus baridi hili natamani niende nikachukue kitimoto lost ya hii hela yote iliyobaki niondoe mikosi!
Kibubu unatengeneza mwenyewe sio kununua au njia rahisi hifadhi kwenye simu halafu hamishia account yako ya bank every single day, then utajikuta umeweka akiba nyingi sana...
naona unatafuta ugomvi na kilinge Cha msata wewe kwahiyoHalafu usikute aliyekuchezea michezo ya kiwanga yupo humuhumu jf anaku-zoom tu
Za Burundi au umesahau?Kwa tozo zipi?
Isirudie kutunza pesa kwenye kibubu chenye material yatokanayo na mmea. Maana wachawi pia hutumia mimea kutengeneza madawa yao, hivyo ni rahisi kuibiwa kwa chuma ulete.
Vibubu vipo sana lakini vya kisasa ni vya chuma. Nimeona san sehemu moja inaitwa Tarime, wanatumia sana mabox ya chuma kuhifadhi pesa. Mfano, vicoba wanatunza mpaka 20m kwenye mabox hayo na haipotei hata sh.1.
Pia, ukihitaji akaunti, unaipata kama unakitambulisho cha kupigia kura. Siyo lazima NIDA
Tumia box za chuma. Achana na kutunza kwenye simu, TOZO zitakumaliza.Mkuu mimi sina kitambulisho chochote zaidi yangu mwenyewe!
Tena wanawake ndo wanapenda sana kutumia vibubuHivi vibubu mnawezaje?
Mi ni mtaalamu wa kujiibia mwenyewe kwa kutumia kitu chenye ncha nachomoa tunoti.
Afu zikiwa hazitoki tena natikisa mpaka chenchi zote ziishe.
Ila mwisho wa mwaka ndo nitavunja kabisa sijawahi kujua huwa nategemea kukuta nini 🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu usikute aliyekuchezea michezo ya kiwanga yupo humuhumu jf anaku-zoom tu
Havina tozo.Hivi bado watu wanatunza hela kwenye vibubu?