desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,798
- 6,089
Dah mkuu umejuaje wako hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Uswahilini unakuta mtu ana genge anauza vibubu tu kama vitano tena amerelax kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu umejuaje wako hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Uswahilini unakuta mtu ana genge anauza vibubu tu kama vitano tena amerelax kabisa!
Hivi mko serious au? Mnaamini kabisa kuna vibubu vyenye uwezo wa kuiba fedha? Au nimeelewa vibaya?Tengeneza cha kwako mwenyewe, hivyo vinavyouzwa vina chuma ulete
DuuhIla sio wote huwa wahanga wa chuma ulete, unataka soda gani mkuu uletewe hadi mlangoni
Unashangaa nini sasa? Au hujakutana na tozo wewe? Na kwa taarifa yako vinaongezeka mitaani. Waulize mafundi seremala, oda za vibubu zilivyoongezeka baada ya tozo kuanza kung'ata!Hivi bado watu wanatunza hela kwenye vibubu?
DeehDuuh
Next time fungua fixed account chochote hata 500 unaweka.Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.
Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Amesema anakaa peke yake tena hela ameanza kuweka tar 3. Na mahesabu yote anakumbuka. Kwanini tumlazimishe kuwa kaibiwa wakati hiyo ni sayansi ya mwafrika tena haijaanza leo?Humo ndani unaishi peke yako?
Acha mawazo yakishirikina, kwenye vibubu pesa inatolewa tena bila kukivunja.
Walikua wanakusomea gepu ukiweka wanachomoa na piniDah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.
Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Yaani unaogopa kukatwa 3000 ila upo tayari kupoteza laki 3Unashangaa nini sasa? Au hujakutana na tozo wewe? Na kwa taarifa yako vinaongezeka mitaani. Waulize mafundi seremala, oda za vibubu zilivyoongezeka baada ya tozo kuanza kung'ata!
We upo TZ au TOZO?Kibubu unatengeneza mwenyewe sio kununua au njia rahisi hifadhi kwenye simu halafu hamishia account yako ya bank every single day, then utajikuta umeweka akiba nyingi sana...
Naona umeniamulia leoDeeh
Basi pole bestSasa mkuu nidanganye ili nipate nini? au nafaidika na nini?
kama kuna mtu haamini katika hili basi
Hiyo laki 3 naipoteza!?Yaani unaogopa kukatwa 3000 ila upo tayari kupoteza laki 3
Acha ndugu ysnguNimejikuta natamani niwe na chuma ulete pia, nitaipata wapi?
KweliNimeweka sana pesa kwenye kibubu, ila sijawahi kupoteza hata mia, zaidi ya kukuta pesa imeongezeka mara moja.
Kibubu kuzuri, ni zaidi ya bank.
Kinahamasisha uweke zaidi.
Cha msingi usiwe na mwenza mpenda pesa ndani ya nyumba.
Mkuu, chuma ulete kwenye vibubu inafanya kazi! Mimi nimelishuhudia hili, hapa naishi peke yangu, kibubu nimekinunua na nikaanza kuweka pesa, na pesa ambazo nimeweka nazikumbuka vizuri, maana haijapita hata wiki, niliweka kama elfu 50 hivi, cha ajabu navunja kibubu nakuta 23,000.Hakuna hiyo kitu. Mimi nilikuwa na kibubu nikakitunza mwaka mzima. Siku niliyofungua nilishangaa! Lakini nilikuwa naweka elfu kumi kumi, nachanga zikifika kumi nachenji na naweka 10 ndani ya kibubu ili kisijae haraka.
Nashangaa jamaa wanalazimisha kuwa nimeibiwa na ndugu yangu ninayeishi naye, wakati naishi peke yanguAmesema anakaa peke yake tena hela ameanza kuweka tar 3. Na mahesabu yote anakumbuka. Kwanini tumlazimishe kuwa kaibiwa wakati hiyo ni sayansi ya mwafrika tena haijaanza leo?
Hivi mko serious au? Mnaamini kabisa kuna vibubu vyenye uwezo wa kuiba fedha? Au nimeelewa vibaya?
Mkuu nicha mbao au pleti?Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea.
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.
Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.
Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.
Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.
Mlaaniwe wauza vibubu
Asante sana kwa offer mkuu. Kwa sasa sipo karibu ila wazo lako nimelipenda. Pia kuna wakati nilishaomba sana hapa JF watu wanaojua nyumba zenye majini, mizimu na kila aina ya mauzauza na watu wanaogopa kulala ndani basi waniambie ili nikalale huko hata mwezi mmoja. Hizo fedha zako kuna mtu tu alikuwa anakulia time na kuiba kama kweli hukukosea kuhesabu.Nashangaa jamaa wanalazimisha kuwa nimeibiwa na ndugu yangu ninayeishi naye, wakati naishi peke yangu
Mkuu wewe kama uko karibu na kigamboni sema tufanye mpango nikununulie kibubu niliponunua mimi na nikupe bure kabisa, weka hela na baada ya muda kivunje unipe taarifa.