Nimewamiss hawa watu Jamani

Nimewamiss hawa watu Jamani

Wee SHAROBARO wa kike uko guest gani sasa hivi Posted via Mobile au uko MACHI MACHI GUEST HOUSE

Kama nimepishana naye pale maeneo wanapokusanyikiaga kafu nimemuona anavuka barabara sasa cjui kama hiyo gest iko maeneo ya buguruni basi nawakilisha usimtafute sana
 
hahaha!sooo sweet!nimecheka sana,,,babu sijabadilika mbona jana tulikuwa wote library?ww unarukaruka sana bana

Tatizo wewe wacheka,
Senksi unashindwa weka,
wanifanya wako kaka,
Kweli umeharibika.
 
Nilikuwa offline kwa siku kadhaa hawa watu nimewamiss kweli. Wazima wote Nawapenda sana.

Baba_Enock
Finest
St. RR
Bigirita
GY
Asprin
Wise Lady
Smiles
Kimey
Dark City
Afrodenzi
First Lady
First Lady1
Askofu
Teamo
Kevin Ambrose
Michelle
Nyamayao
Maty
Preta
Derimto
Pearl
Maria Rozi
Bacha
Rose 1980
Babu Ataka Kusema
Mhafidhina
Lizzy
Mohamed Shossi
Zion Daugther
Kaizer
Ivuga
Paka Mweusi
Paka Jimmy

Na wengine wengi hawa ni wachache tu. NAWAPENDA WOTE SIKU NJEMA
DA

miss u pia nitakupm nikupe direction utakuta huyu mdudu hapa down
how-to-roast-a-chicken.s600x600.jpg
 
Ahsante sana mjukuu wangu kipenzi, DA,

Mimi pia nimekumiss pamoja na wajukuu zako wote. Pia nimewamiss kaka na dada zangu. Natumai hii kikombe nitakinywea na kurudi salama. Tuzidi kuombeana ingawa safari iliyobaki ni ngumu kuliko niliyoimaliza. Ni zaidi ya kuisubiri labour!!

Babu DC
 
Tatizo wewe wacheka,
Senksi unashindwa weka,
wanifanya wako kaka,
Kweli umeharibika.

unanifananisha na dena au na derimto?mbona nimekupa senks sana?au uko kitandani unaona kwa tabu?ntake radhi kwa kunipa chakula ya moyo pls
 
unanifananisha na dena au na derimto?mbona nimekupa senks sana?au uko kitandani unaona kwa tabu?ntake radhi kwa kunipa chakula ya moyo pls

Haraka nakupatia,
chakula ulonambia,
Hiyo hapo chekishia,
Nilivo kupakulia,

Roho yako iridhike.

The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
Kama nimepishana naye pale maeneo wanapokusanyikiaga kafu nimemuona anavuka barabara sasa cjui kama hiyo gest iko maeneo ya buguruni basi nawakilisha usimtafute sana

Derimto bana mpaka ukumbushwe zimefika angalau sita hizo thanks zako
 
Ahsante sana mjukuu wangu kipenzi, DA,

Mimi pia nimekumiss pamoja na wajukuu zako wote. Pia nimewamiss kaka na dada zangu. Natumai hii kikombe nitakinywea na kurudi salama. Tuzidi kuombeana ingawa safari iliyobaki ni ngumu kuliko niliyoimaliza. Ni zaidi ya kuisubiri labour!!

Babu DC

Tunakuombea DC usijali
 
Haraka nakupatia,
chakula ulonambia,
Hiyo hapo chekishia,
Nilivo kupakulia,

Roho yako iridhike.

The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:
Asprin (Today)

hapo ndo unaponimaliza zaidi!mi nazidi kukupenda tu,,,,babu hv uliacha ukaguzi eee?
 
Back
Top Bottom