WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Nipo huku najaribu kumdhibiti huyu babu yenu ameota mapembe
huyu babu kwa sasa anatisha kama nn!bana yy as much as u can pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo huku najaribu kumdhibiti huyu babu yenu ameota mapembe
Wee SHAROBARO wa kike uko guest gani sasa hivi Posted via Mobile au uko MACHI MACHI GUEST HOUSE
hahaha!sooo sweet!nimecheka sana,,,babu sijabadilika mbona jana tulikuwa wote library?ww unarukaruka sana bana
Nilikuwa offline kwa siku kadhaa hawa watu nimewamiss kweli. Wazima wote Nawapenda sana.
Baba_Enock
Finest
St. RR
Bigirita
GY
Asprin
Wise Lady
Smiles
Kimey
Dark City
Afrodenzi
First Lady
First Lady1
Askofu
Teamo
Kevin Ambrose
Michelle
Nyamayao
Maty
Preta
Derimto
Pearl
Maria Rozi
Bacha
Rose 1980
Babu Ataka Kusema
Mhafidhina
Lizzy
Mohamed Shossi
Zion Daugther
Kaizer
Ivuga
Paka Mweusi
Paka Jimmy
Na wengine wengi hawa ni wachache tu. NAWAPENDA WOTE SIKU NJEMA
DA
Tatizo wewe wacheka,
Senksi unashindwa weka,
wanifanya wako kaka,
Kweli umeharibika.
unanifananisha na dena au na derimto?mbona nimekupa senks sana?au uko kitandani unaona kwa tabu?ntake radhi kwa kunipa chakula ya moyo pls
Ahsante sana mjukuu wangu kipenzi, DA,
Mimi pia nimekumiss pamoja na wajukuu zako wote. Pia nimewamiss kaka na dada zangu. Natumai hii kikombe nitakinywea na kurudi salama. Tuzidi kuombeana ingawa safari iliyobaki ni ngumu kuliko niliyoimaliza. Ni zaidi ya kuisubiri labour!!
Babu DC
Derimto bana mpaka ukumbushwe zimefika angalau sita hizo thanks zako
Niko poa sana pitia dukani kwangu basi nitakupa bure.
Nimekumiss wewe yaani acha tu
Haraka nakupatia,
chakula ulonambia,
Hiyo hapo chekishia,
Nilivo kupakulia,
Roho yako iridhike.
The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:
Asprin (Today)
Niko poa sana pitia dukani kwangu basi nitakupa bure.
Nimekumiss wewe yaani acha tu
Amejitahidi kidogo zimefika sita. Hujambo wewe