Kwa hiyo waliopo Jf waj.inga ji.nga?wanaacha mambo ya kij,ng,a Ji.n.nga. wanakua busy na mambo ya familia
Hahahaaaaa!! Eti ni wa humuhumu!!hivi huku mtu akifa tunamjuaje sasa? maana mnavomisiana hadi huruma yaani,
tangu nikiwa chuo, kipindi hicho credentials zangu ni read only kuna watu nilikuwa nawaona humu...... watu kama akina masai dada, preta, atato, Heaven on Earth mi nilikuwa nahisi ni watu wa humu humu tu, yani kama vile wapo sehemu fulani ya peke yao. Wao wanajuana ila hawataki sisi tuwajue.
Hongereni sana, wengine inabidi muwe na jubilee za kuadhimisha humu
Sna neno zaidi kukuhitajiNipo niambie
Niko hapa sema nami nitasikiaSna neno zaidi kukuhitaji
Kabisa atoto, unakuta watu wapo kijiweni wanapiga story za akina miss chaga wa jamiiforumHahahaaaaa!! Eti ni wa humuhumu!!
Babu vipi tena!!Khaaaaa.......!!
Aisee ndugu yangu ulipotea mpaka watu wakazusha mabaya juu yako.Kuna wakati kaka muda wa kuitumikia JF unaeksipaya...
Eeenhe!! Wanasemaje?[emoji101] [emoji101] [emoji101]Kabisa atoto, unakuta watu wapo kijiweni wanapiga story za akina miss chaga wa jamiiforum
Mi hujanimiss??Kuna Jf members ambao kwa namna moja ama nyingine walilipamba sana jukwaa hili la MMU kipindi fulani kwa michango yao. Watu hao binafsi walikua wananifurahisha sana nafsi yangu kila mmoja kwa staili yake.
Ghafla tu nimejikuta nawakumbuka sana kwani kila nikiingia siwaoni kila nikiingia siwaoni jamani wapo wapi hawa watu??? How are they doing?? Ni muda mrefu kidogo umepita siwaoni oni jukwaani wamepatwa na nini huko jamani?? Anaewajua live bila chenga awape salamu zangu kuwa nimewakumbuka sana hapa jukwaani.
miss neddy Khantwe utafiti Excel mmepotea sana Manka m miss chagga mmepotea kidizain japo miss chagga Jana nilikuona nikakukoti makusudi tu ili nitambue uwepo wako kwakuwa nilikumiss sana na lara1 nimemis weekend storee na mashushu yake na tuvitu twingine twa ziada twingi twingi tu pia huwa napata vimisemo vingivingi kweli vinavoikonga roho yangu na kufanya siku yangu inoge.
Hao na wengineo weengi ambao sijawataja wamejificha wapi sikuhizi???